Habari wakuu natumaini wazima
Niende moja kwa moja kwenye mada kiufupi mtoto wa kaka yangu yaani mtoto wangu Mimi kama mnavyojua matokeo yametoka Jana ila sio mazuri amepata div3. Pts16 ya PCB...
tanzania tuna vyuo vingi sana lakini nashanga sijui kwanini fani hizi tanzania hadi leo hiii fani hazitolewi katika vyuo vyetu ........
1.degree na diploma za graphics designs
2.degree na...
Habari za leo wakuu,
Natumai mu wazima wa afya tele. Lakini pia poleni na mihangaiko ya kulisaka tonge.
Sasa ni hivi, leo wakati naperuzi makabrasha yangu kichwani nimejikuta napata wazo hili...
Kwa uwezo wa aliye juu ni imani yangu kuwa wote tuko salama.
Wakuu nimekuwa member kwa miaka kadhaa sasa japo sikuwa nimejisajili lkn nimekuwa nikisoma mada mbalimbali za wadau na ukweli ni...
Naomba kufahamu vigezo vinavyoangaliwa kama unataka kusomea IT na vyuo husika Tanzania vinavyotoa hii course
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Wakuu ninaomba mtu anayefahamu Shule ya Sekondari ya Bweni inayofundisha michezo pia iwe nzuri kwenye taaluma. Kijana wangu anamaliza Darasa la Saba na anapenda sana michezo na anacheza Mpira wa...
Salamu wakubwa, naomba mnikaribishe kwenye jukwaa pendwa la elimu na JamiiForums kwa ujumla. Niende kwenye Mada, mimi ni mwalimu wa shule ya msingi ngazi ya cheti GPA ya 3.9 Na niko kwenye ajira...
Habarini wadau wote wa sekta ya afya, pia wanazuoni wote toka kila pande ya Tanzania!
Karibuni sana katika uzi (thread) huu unaohusu masuala mengi kuhusu Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi...
Wadau Habari za Leo. Mwenzenu nimekwama kwenye kuomba kazi ya ualimu kwa mfumo wa TAMISEMI.
Nilifungua account na kila nikilog in inagoma kabisa inaniandikia wrong credentials. Nikijaribu kwenda...
Sina shaka kwamaba kila mmoja wenu ni mzima wa afya.
Wakuu mimi nauliza kwamba hii course ya bachelor of commerce in tourism ambayo ni mpya pale UDSM, ambako ndipo nilipopangwa, mnaionaje...
Husika na mada tajwa hapo juu, Mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimehitimu diploma ya clinical medicine mwaka juzi na kufanikiwa kupata GPA ya 3.8, japo malengo yangu yangu hayakuwa hayo.. O level...
Nitakwenda moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda.
Naomba Wizara ya Elimu itoe muongozo juu ya muda wa kukaa darasani kwa watoto wetu. Ni kweli shule zina Bodi, lakini tukumbuke hakuna...
Katika dunia ya leo ya habari (information age) fedha ni muhimu sana. Je, ni kwanini mfumo wetu wa elimu hautoi fursa kwa wanafunzi kujua mfumo na tabia ya fedha katika dunia na uchumi wa kibepari...
BACHELOR OF ARTS IN LAW ENFORCEMENT UDSM.
UFAHAMU JUU SHAHADA YA USIMAMIZI WA SHERIA INAYOTOLEWA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
UTANGULIZI
Usimamizi wa sheria kama taaluma inayotolewa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.