Wiki iliyopita nilipata nafasi ya kuchakata maombi ya kazi ya taasisi moja binafsi hapa nchini. Maombi takribani 450 yalipokelewa ya wahitimu wa vyuo mbali mbali.
Ninashauri tufikirie namna...
Kusema ukweli mwalimu mpaka aje kuwa headmaster ni ngumu sababu wapo wengi na mpaka mkuu wa shule aje kustaafu ina maana na mwalimu wa kawaida anastaafu.
Sasa kwanini kila shule isiwe na wakuu...
Hello wana JF, habari za jion? Nilitaka kujua ni lini tunaweza kupata AVN number sababu nilikuwa na supplimentary matokeo yalitoka mwezi wa kumi tarehe 5 nikawa nimeclear na wakawa wameyatuma...
Wazee I.T naombeni msaada wenu,
Simu yangu ina support 4G lite na nimeitumia kwa mda mrefu na huu ni mwezi wa tatu natumia 4G, ila sasa leo ni wiki 4G haipandi wala 3G inayo panda sasa ni 2G...
Pole na majukum wakuu,
Nimemaliza kidato cha sita Mwaka huu nataman sana kusoma Kozi ya wildlife management. Je ni chuo gan kitanifaa kwa Kozi hiyo.
Natanguliza shukran zangu za dhati Ma GT
Wapendwa wa jamii forum
Yaani nimepata stress nimekosea email wakati nikifanya usajili wa kuomba degree..Sasa Kuna namba moja TU nimesahau nikajua nipo right mpaka naweka password.
Nikawa tayari...
Wajumbee wa UDSM toeni ushaurii hapa!
Kuna dogo amepata GPA ya 3.4 anawish ku-apply UDSM, vp anaweza kupata au utapoteza 10000 yake amemaliza chuo cha Ualim, anataka akachukue kozi ya Mathematics...
Mimi ni mwananfunzi wa mwaka wa 2, nasoma Kozi ya Bachelor's in B'ness Administration(BBA). Ningependa kushare nanyi katika hili.
Naomba kufahamu briefly au shortly, naweza kusoma Master's ya...
Kwa mujibu wa TCU, miongoni mwa vigezo vya kusoma ngazi ya degree ni watu wa foundation programme kutoka OUT maajabu yaliopo baaadhi ya vyuo kama DIT, ARU hawachukui kabisa watu wa foundation sasa...
Wakuu habari, kama nilivozungumzia kwenye kichwa cha habari.
Nina shida na mawasiliano ya TAMISEMI kwa anayeelewa niingieje kwenye website yao au email yao, vilevile sina email yao wala website...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imefungua dirisha la maombi ya udahili wa Shahada ya Kwanza, mwaka wa masomo 2020/21.
Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa amesema dirisha la kwanza la...
Hellow habari za mida hii wanajamvi natumai mungu anajalia uzima kwanza kwa majina naitwa Derrick Deo nimekuja mbele yenu na baadhi ya maswali ambayo nahitaji usadizi wenu kwa njia yeyote samahani...
Habari za wakati huu wana jamvi!,
Eeh kuna mdogo wangu yupo Chuo mwaka wa Kwanza diploma-Clinical Officer (VYUO VILIVYOPO CHINI YA NACTE)! Sasa nataka kumuhamishia chuo kingine ila tatizo sina...
Wasalaam ndugu wanajukwaa
Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya shahada, kozi ya ya Teknolojia ya Habari na Mifumo( Information Technology and System) inayotolewa Mzumbe Chuo kikuu, nina Gpa ya daraja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.