Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wakuu, Mim nimemaliza kidato cha 6 mwaka huu comb ya CBG, nimepata hivi: Chem D Bios E Geo D Nilikua nauliza: Je, naweza somea (IT na Environmental Science) pya msaaada course zingine...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TCU ilipandisha cut off points kwa ajili ya kujiunga na kozi za afya kwa digrii na kuwa 8 yaani C, C na D badala ya D, D na S. Kwa maoni yangu sioni ulazima wa kutaka MTU apate D ya physics kama...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Wadau wa JF habari zenu, Mimi kijana wenu leo naomba kujuzwa ni chuo gani kwa hapa Dar kinatoa kozi hii ya Diagnostic Radiography kwa ngazi ya Diploma. Udahili unaanza tar ngapi kwa mwaka huu wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu Samahani, Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Kuna chalii apa kapata div 3 ya 15 yani ana CEF vp anaweza pata chuo asome degree au aanzie diploma
1 Reactions
88 Replies
9K Views
Habari wanajamvi, Natumaini tuko salama. Bila kupoteza muda naomba kujua kama kuna mkeka (forum) ya wanavyuo, ambako wanashare fursa nk. Kama kuna anayefahamu, tuonane inbox.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua orodha ya vyuo bora vya private vilivyopo Dar es salaam vinavyotoa kozi za medicine
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Ilikuwa ni mwaka 2009 ile tunahangaika kupata admission za vyuo. Mimi programme zote nikaomba UDSM nikijiamini na One yangu ya 9. Mwanangu mmoja akanionya kuwa omba na chuo kingine kimoja kati ya...
8 Reactions
208 Replies
17K Views
"Kusoma elimu ya chuo kikuu ni upuuzi sana, ni kupoteza muda kijinga" Nimenukuu jamaa akisema hayo maneno hapa Stationary nikiwa natoa copy sijui kwanini kaongea vile.
5 Reactions
32 Replies
7K Views
Naomba kufahamu kozi zinazotolewa na vyuo vikuu ambavyo vipo nje ya Tz lakini kozi zao zinatambulika na TCU au NACTE
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za jioni, Nimeulizwa na Bwana Mdogo kuhusu hii kozi inayotolewa Chuo kikuu Cha Dar es Salaam upande fursa za kujiajiripamoja pia na kuajiriwa na public sector pamoja na private sector.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
One can define the word "success" the way it fit him. Success can not be defined by one sentence, it is comprised of many things depending on the individual. - According to Oxford dictionary...
0 Reactions
5 Replies
645 Views
binafsi nimekuwa muathirika wa ongezeko la GPA kwa diploma holders wanaotaka kwenda Chuo Kikuu .Nina diploma ya clinical officer kwenye provisional transcript nina GPA ya 2.7. Lakini kuna kitu...
1 Reactions
39 Replies
14K Views
Nimelipia Application fee halafu mfumo wenu unasema bado sijalipa na kuonesha control namba hiyo hiyo niliyoitumia kulipia. Nimewasilisha tatizo langu kwenu mnasema mnalifanyia kazi tangu saa 7...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Binafsi tumezoea kuona miaka yote bodi ya mikopo inafungua dirisha kwa Mara ya kwanza na wanafunzi wanatuma maombi then baada ya kufika deadline dirisha linafungwa. Baada ya dirisha kufungwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu! Leo nimeamua kuja na maoni yangu Binafsi kuhusu wale wanaochaguliwa kujiunga na Diploma ya Kozi mbalimbali,Mimi binafsi sikubaliani na suala la Mtu alie Maliza KIDATO CHA NNE...
1 Reactions
24 Replies
11K Views
Nimemaliza kidato Cha sita 2020 CBG, Div 1.7 kwa matokeo haya: Chemistry - A Biology - C Geography - C BAM - B Je, naweza kupata course ya Environmental Health Science pale Muhimbili ukizingatia...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari, Nauliza naweza peleka malalamiko yangu sehemu ipi. Ni hivi chuo akitaki kuweka motokeo yangu nacte toka mwaka jana nimekosa kuendelea na chuo kikuu na mwaka huu awajaweka kila siku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KWA MARA NYINGINE TENA.... Ni faraja iliyoje tena kwa mkoa wa KAGERA kuendelea kufanya vizur kwa matokeo tena ya kidato cha NNE yaliyotangazwa Jana ...mtiha huu ulifanyika mwaka Jana 2016 na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
nashindwa kuelewa,ivi unaweza disco bila hata kufanya sup km gpa yako ni ndogo ama vip??
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wanajukwaa, Naomba nifahamishwe kuwa naweza kutoka college moja kuhamia nyingine baada ya kumaliza semester moja au ndio hadi nimalize mwaka? Nawasilisha.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom