Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari Wana jamvi,Naomba kufahamishwa,Je ada kwa mwanafunzi aliyechaguliwa na tamisemi kujiunga na chip kwa ngazi ya diploma,Je ada ni tofauti na aliyeomba moja kwa moja Nacte?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu, Nataka nifungue studio ambayo ina deal na masuala ya motion graphics hususan mambo ya 3d pamoja na 2d sasa natafuta mtu ambae mwenye uzoefu wa kutosha ambae ninaweza...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Mfumo wa uombaji wa nafasi za mafunzo ya ualimu katika ngazi ya stashahada umefunguliwa. Kama una ndugu au jamaa mtaarifu ikiwa anavigezo vilivyoanishwa anaweza kutuma maombi. Ili kuweza kuona...
0 Reactions
0 Replies
12K Views
Wadogo zangu mnaotarajia kuingia vyuoni, mkasome kwa bidii zote ila kuna siku mtakuja kugundua, tunahitaji PESA na wala sio GPA , na mrundikano wa ma VYETI. Ni hayo tu lakini.
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Mim ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa mwaka wa kwanza. Umri wangu ni miaka 29. Nataka kuomba mkopo wa Elimu ya juu; Je naweza kupata?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maelekezo muhimu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Poleni kwa majukumu. Naomba msaada kwa mtu mwenye syllabus ya somo la kingerezaa darasa 4 either kwa picha au hata pdf. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Habari za jioni, Naomba mwenye ufahamu wa hiyo inayotolewa UDSM, Upande wa fursa hapa Tanzania
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani Wapendwa mimi Ni muhitimu wa kidato Cha sita mwaka huu(2020) nilisoma PCB na nimepata DDD nina two ya 12, Nauliza kama Kuna uwezekano wa kupata Course ya bachelor in Medical Laboratory...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hii si sauti ya kwanza kupazwa juu ya mfumo wa elimu unaoonekana kupwaya katika kukidhi haja na maono ya watanzania. Ni mfumo tulioachiwa na Waingereza 1961 uliolenga kupata vijana wachache...
2 Reactions
3 Replies
710 Views
Wakuu habari ya jumapili Nina mdogo wangu kasoma kozi ya laboratory science and technology chuo cha ualimu Monduli ngazi ya diploma kahitimu mwaka Jana 2019 , sasa naomba kuuliza je anaweza kuomba...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Mwenye ufahamu wa hizi course mbili ipi Ina unafuu kutokana na Hali ya Sasa ya changamoto ya ajira Kati ya -Water resources and irrigation engineering au laboratory science au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bachelor oducation with mathematics&ict na bachelor of education with mathematics&IT utofauti wake na ufananao wakee na ip is the BEST koz
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habarini na poleni na majukumu ya kujenga taifa. Ndugu zangu,natamani kujifunza ufundi wa aina yoyote kama finishing n.k, jamani ndugu zangu mafundi natafuta fundi yoyote wa kunisaidia ujuzi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau please mwenye kukifahamu hiki chuo naomba anijuze kuhusu ubora wake katika hizi fani za afya. Natanguliza shukran
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, wana JF! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu... Nahitaji mawazo yenu. Nina ndugu yangu hawezi kusoma kozi za afya kwa ngazi ya stashahada kwa sababu ya E kwenye Biology...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Samahani naomba ushauri nilipangiwa certificate mwaka Jana lakini nilisoma semester moja ya pili sikuweza kumalizia ada kwaiyo sikuisoma. je...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Naomba nifahamu gharama ya ada na gharama za hostel kwa vyuo vya kilimo vilivyo chini ya wizara ya kilimo hususani chuo cha ilonga-kilosa na Naliendele mtwara Asante
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nilikuwa naulizia hivi list ya selected students from NACTE in health courses yata tangazwa lini???[emoji120][emoji120][emoji120]
1 Reactions
62 Replies
10K Views
Back
Top Bottom