Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
TCU wanataka PHY, CHM, BIO, B/MATH na ENG yote uwe na angalau alama D Ila mimi Clinical Medicine diploma nna GPA -4.6 O_level Phy-C Chm-C Bio-C Eng-E B/Math-F
1 Reactions
39 Replies
8K Views
naomba anaejua utaratibu wa kuhama kwa mwalimu wa msingi anambie process ikoje. nna genuine reason tatizo cjui nanzie wapi
0 Reactions
14 Replies
13K Views
Wadau habari, Kuna ambaye ameshafanya application za kuomba chuo SUA mwaka huu wa masomo 2020/2021 mana kunachangamoto moja ambayo nimekutana nayo mimi baada ya kuomba SUA mwaka huu kwenye A/C...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
THE UNIVERSITY OF DODOMA OFFICE OF THE DEPUTY VICE CHANCELLOR ACADEMIC RESEARCH AND CONSULTANCY INVITATION TO APPLY FOR ADMISSION INTO UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Juzi juzi niliandika haya baada ya kusoma tangazo la udahili la UDOM Masiya JF-Expert Member Apr 2, 20126,6512,000 Monday at 1:27 PM Add bookmark #5 Kama umegundua kuwa UDOM wamefutilia mbali...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau naombeni mwenye kitabu kinachoitwa BIG PICTURE PDF kilichoandikwa na Ben Carson anitumie.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuna uhitaji na Mwalimu wa FOOD AND NUTRITION kwa O-Level. Shule ni ya Wasichana na ipo Mtwara manispaa. Kwa maelezo zaidi, naomba tuwasiliane: 0745737287
1 Reactions
0 Replies
699 Views
Ni kwa muda sasa umekuwepo unyanyapaaji mkubwa kwa watu wanaoshindwa masomo ya sekondari maarufu kama ''div zero'' wanaitwa kila majina ya hovyo kama wamezungusha vilaza na mambo ya ajabu ajabu...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari wana JF, Ningependa kuuliza, mwanafunzi ambaye hakupata chuo mwaka 2019 ila sasa anaomba na anakutana na shida kuwa taari asha sajiiliwa inakuwaje je ndo mfumo wa sasa hivi na afanyaje...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu wa Jamii Forum, Nimatumaini yangu kuwa mnaendelea na harakati za kutafuta maisha ,nilikuwa naomba kama kuna mtu anafahamu chuo chochote mtu anaweza kusomea mambo haya...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Mbali na Bodi ya Mikopo (HESLB) kuna mwenye kufahamu Taasisi au Benki yoyote inayotoa mikopo kwa wanafunzi wanaosoma kwenye vyuo hapa nchini?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tupia kisa chako kilichokua kinakuudhi kipindi upo high school Cha kwangu kilichokua kinaniudhi ni ile tabia ya baadhi ya wanafunzi maarufu kama wasongo kujua ratiba zote za shule kubwa kubwa mf...
3 Reactions
100 Replies
14K Views
Eti wale tulioachwa tena second selection inakuaje mwenye anafahmu lolote anijuze msaada tafadhali
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani wana jf naomben msaada wenu nimechoka kukaa nyumbani hvi ni lin zitatoka second selection za form five Mwaka jana zilitoka 23rd aug...xx mwaka uuh naona kmya mno xx cjui imekuaje make...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mimi tangu nianze kuomba misaada ya kielimu humu ndani sijawahi kusaidiwa hata kidogo mfano kuna siku niliomba mwenyewe ana Link ya vitabu vya CPA mpaka Leo kimya na members wapo tuu pia niliomba...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani naomba kujuzwa kuhusu sehemu za field hapa Dar es salaam. Ofisi mnazozijua mtu anaweza kupeleka barua ya field. Faculty ya HRM.
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Ndugu walimu wenzangu, kutoka pembe mbalimbali za nchi hii. Ninakuja kwenu kwa unyenyekevu nikiomba kwa mwenye papers za masomo yafuatayo, Basic Mathematics, Physics, Chemistry, Biology...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
mMthematicians wenzangu, kitabu hiko apo.
3 Reactions
1 Replies
672 Views
Naomba mwenye link ya kitabu cha Rosa mistika anisaidia tafadhali.....
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu? ... Huu ni wakati ambapo vyuo vikuu vingi vimeanza kupokea maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali, na baadhi ya watu wanapata shida jinsi gani wanaweza kuomba vyuo wanavyotaka...
2 Reactions
31 Replies
32K Views
Back
Top Bottom