Ni ukweli usiopingika kua. Wengi hupata shida katika kufanya maamuzi juu ya kuchagua course ya kusoma na vyuo vya kuomba.
Zipo sababu nyingi ambazo unapaswa kuziangalia kabla yakuchagua chuo na...
Naomba kuuliza kuhusu selections za chuo cha afya Dodoma,DIHAS wanautaratibu gan katika kuachia selections zao??
Kama kuna mtu alipitia hapa naomba mawazo.
Wakuu habari zenu,
Naomba kuuliza kuwa je kunauwezekano wa mtu kubadilisha kozi akiwa chuoni hasa baada ya kuchaguliwa kozi ambayo hakuipa priority..je kitu hicho kinawezekana!!!
Habari za wakati huu wadau wa elimu..?
Naomba kuuliza kuhusu hii course cha "CROP PRODUCTION AND MANAGEMENT" kutoka pale SUA maana nasikia ni course mpya.. So kama kuna aliyeanza kusoma hii kozi...
Natanguliza shukrani,
Wakuu kwa pamoja Naomba tufahamishane kozi nzuri za kusoma chuo kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma masomo ya sanaa(arts)
Nikiwa namaanisha kwamba zile ambazo zimamuwezesha...
Habari, wana JF!
Mimi Ni mdogo wenu niliyemaliza kidato Cha sita mwaka huu. Na matokeo ni kama ifuatavyo:
Phy 'A'
Chem 'B'
Bio 'C'
BAM 'B'
Nimesha'apply' kwa MD vyuo vitatu mpaka sasa; MUHAS...
Moja kati ya wajibu muhimu wa mwalimu wa shule ya msingi ni kuwafahamu wanafunzi wake ; kufahamu uwezo na udhaifu wao na kuwa na ufahamu fulani kuhusu historia ya makuzi yao ili kuweza kubuni...
Kutokana na ucheleweshwaji wa uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na RITA, je bodi ya mkopo ya vyuo vikuu wataongeza mda au wale ambao wanasubiri kupata uhakiki wa vyeti wa fanyaje ikiwa deadline ya...
Naombeni msaada,
Hii course nimeona kwenye TCU guide book kama moja ya health related program lakn sijaona chuo kinachotoa Hii course mwaka huu. Je, hii course inahusika na ninin kwa anayejua?
Ana three ya 16 (Physics -E, Chemistry- S, A/maths- E. Je anaweza pata chuo cha kusoma Bachelor Degree?
Husika na mada tajwa hapo juu, nina mdogo wangu ana ufaulu tajwa hapo juu, je anaweza pata...
Wana jf naomba msaada kwa anaefahamu chuo chaafya kwa ngazi ya cheti course CLINICAL OFFICER.Gharama za course hiyo pia nisaidieni ntashukuru sana sana
Shikamoni wakubwa, polen na majukumu,
Mim mdogo wenu nimemaliza form six mwaka huu, nilikua nasoma PCB, nimepata ufaulu wa div2 pts 10 yan D-CHEMESTRY,C-BIOLOGY na C-PHYSCS.
Wakubwa zangu...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.... nina Shemeji yangu amemaliza Darasa la 7 mwaka huu.... tunajaribu kumtafutia shule ya kusoma kidato cha Kwanza mwakani..... Naombeni msaada kwa mwenye ufahamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.