Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kuuliza kuna Chuo chochote Huria cha Udaktari maana. Matoke yangu mimi n kama ifuatavyo CHEM C BIOS C PHY S MSAADA JAMAN
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Leo katika pita pita zangu kwenye mitandao nimevutiwa na taarifa ya rubani mwenye umri mdogo kabisa Tanzania kurusha Boing ambaye ana miaka 21.Na mimi nimeshawishika kuwekeza kwa mtoto...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu habari!? Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu. Nimejaza vipengele vyote lakini nimekwama katika hatua za mwisho kwenye Declarations and Signature. Sehemu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana JF nawaombeni msaada mnielekeze. Mwaka huu nlikua na malengo ya kusomea Bs in Geoinformatic ya Ardhi University ambayo mara nyingi inatolewa miaka minne lakini mwaka huu 2020/2021 nimeona...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hizi: Bachelor of Science in Food Science and Technology Bachelor of Science in Applied Microbiology and Chemistry Bachelor of Science in Molecular...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za mchana wakuu, Kuna ndugu yangu alipata GPA ya 2.5 kwenye course ya education. Sasa anataka kusoma masters but open walimwambia lazima awe na GPA 2.7, sasa anauliza afanye nini ili asome...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Jamani msaada Mie password yangu kwenye account ya HESLB nilisahau. Nimejaribu kurecover, kureset password lakini imekataa. Sijui hata nifanyaje.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wajumbe, naulizia zilipo ofisi za tahliso au mawasiliano yao. Nitashukuru kwa ushirikiano.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadua habari. Kuna platforms ya kutoa/kupata elimu juu ya mambo mbalimbali. Unaweza kutoa au kupata elimu hiyo free au kwa kulipia. Kama wewe ndio unatoa elimu kwa kulipia, wadau watakaosoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu natumaini ni wazima, Naomba nipewe maelekezo hapo kwenye requirements za TCU na Mzumbe university. Picha ya kwanza ni from TCU na ya pili from Mzumbe wametofautiana katika maelezo.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwezi mmoja uliopita TAMISEMI waliagiza wakuu wa shule sehemu mbali mbali watume majina ya walimu wanaojitolea; katika tangazo lao hawakubainisha kwa ajili ya nini, lakini LOGIC ikawa ni hitaji la...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana JF. Basi, ikiwa zimebaki siku chache ili wanafunzi wa kidato cha sita waanze mitihani ya kumaliza elimu ya juu ya Sekondari, ni muhimu sasa kuwapa ushauri wakasome kozi ipi itakayowasaidia...
2 Reactions
12 Replies
10K Views
Kwa anayeelewa juu ya Jambo Hili inakuajeh kuna effect zozote kwa muombaji maake ukiandika namba ya shule inaleta jina but ukiprint form inakuja sehemu ya advance pameandikwa school name not found
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naamini mu wazima wa afya. Nlikuwa naomba msaada wa utofauti kati ya Wildlife Management na Tourism Management. Naona ni course tofauti zipo SUA ila sijazielewa. Karibuni sana
0 Reactions
9 Replies
3K Views
TCU wanataka PHY, CHM, BIO, B/MATH na ENG yote uwe na angalau alama D ila Mm Clinical medicine diploma nna GPA -4.6 O_level Phy-C Chm-C Bio-C Eng-E B/Math-F
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujuzwa jinsi ya kufaham kiasi cha pesa unachodaiwa na heslb kwa mnufaika aliyehitimu. Thanks in advance!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani,kuna shule ya kikatolic ya masista wa mt Mary huko Kisarawe, Wengi wanaoiendesha hiyo shule ni masista wa ki filipino.Cardinaly Pengo alitoa hekari 150,ili wajenge hiyo shule, Inachukuwa...
10 Reactions
24 Replies
9K Views
Habar zenyu wana JF! Naomba msaad wenu kwa vyuo vizur ambavyo naweza soma IT au computer science nikatoka na uzoef(theory and practical) ambao utanifany nifanikiwe katka fani hizo either kwa...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu samahan, nataka kujua kwa mtu anayeelewa zaid kuhusu hiki chuo cha DIT anambie ni wanafunzi wangap wa mechanical engineering hiki chuo kinaweza kubeba?
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Chuo cha Uhasibu cha Arusha,IAA kimetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizo sambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanafunzi wa chuo hicho wameandamana usiku wakidai fedha za mikopo kutoka bodi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom