Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Salaaam Naomba kuuliza hivi ukisoma kozi ya rural au community development unaweza kuajiriwa kama nan labda BT kama nikikosa ajira najua cha kufanya so naomba tu huo msaada. Ova
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MAENEO NANE MUHIMU YA MTAALA NGAZI YA DARASA. Ulishawahi kuwaza kufanya kazi ya kutunga sera na kufanya maamuzi?. Ipi unadhani ingefaa kuwa sera bora ya elimu katika nchi yako? na vitu gani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu salaam zenu, Ndugu nakijana wangu anasomaa Degree ya Human Resource, sasa wako kwenye kuandika research kaniomba nimsaidie kumtaftia mada ya kureseach. Naomba tu-brainstom kidogo ilinipate...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari za uzima wana jamvi. September 3 2020 waziri wa Tamisemi Seleman Jafo alitangaza nafasi za walimu msingi na sekondari. Alidai dirisha litafunguliwa tar7 yani leo. Sasa shida iko hivi,huu...
1 Reactions
110 Replies
16K Views
Jamani ee kwa mwanafunzi wa chuo kikuu aliyewahi kupiga field POSTA (sio bank) au TTCL wanatoa mkwanja??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana jf naombeni msaada kwa mwenye kujua specifications za transceiver zinazotumiwa na mitandao ya simu kwenye minara,ya voda , airtel and ttcl please help
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Habari za jioni wana jf, Naomba kufahamu ofisi za Nacte kwa mkoa wa Dodoma zipo wapi? Mimi ni mgeni mkoa huu nahitaji kufika ktk ofisi zao siku ya kesho Jumanne.
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Kule kwenye application kuna masomo mawili haya English na English language, ukichagua English zinakuja Primary Schools na English language zinakuja Secondary School, swali kwa wazoefu, tunaomba...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Tuna uhitaji na Mwl wa Physics/Maths. Shule ni ya wasichana(O-level) ipo mtwara manispaa. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga: 0745737287/whatsapp
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Hello wanajamvi, Nafamahu kuwa Tanzania is gifted na wabobezi katika masuala ya MIS. Natafuta school system yenye sifa zifuatazo: Iwe na uwezo wa kumanage student records na kupring ID cards Iwe...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Kumekuwa na mlolongo juu ya minimum point zinazokuwezesha kuchukua degree. Mwaka Jana kuna rafiki yangu wa o level alipata E E C, mda wa kuomba vyuo nikamwuliza umechagua vyuo gani akaniambia hana...
1 Reactions
129 Replies
17K Views
My name is Augustine, Minister of Education at St. Joseph College of Health Sciences. I am proud to welcome you into our beautiful campus situated at Boko Dovya, Small Town on Dar es salaam...
2 Reactions
34 Replies
9K Views
Habari wakubwa! Najua wengi wetu tumefocus kwenye uchaguzi wa mwaka huu! Ila napenda tuje na kujadili kuhusu maisha!! Kuna biashaa ya kufanya: 1. Michezo ya kubahatisha (betting rooms) Mashine...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Je unaweza kuapply udom university ama chuo chochote kwa ngazi ya Diploma kama umemaliza form 4
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kufungwa kwa dirisha la maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka wa masomo 2020 ambapo hadi kufikia leo Septemba 10, 2020...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
The above matter refers. I am writing here to invite all Master and PhD students who are pursuing various degree Programmes, and are struggling with their research proposal, writing their...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi hamnaga second selection ya chuo kwa watu wa afya kwa Diploma?
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Niliombe jukwaa hili linisaidie kujua kozi nzuri Chuo Kikuu inayoweza kuchukuliwa na mwanafunzi aliyemaliza HKL form VI.
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari kwa wote hapa jukwaani, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama mnavyojua hili suala kuomba mkopo liko very complicated tena kama uko nje ya mji/kijiji halisi ulichozaliwa. Let say now upo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TCU hongereni sana kwa jitihada za kusimamia utoaji wa taaluma na uendeshaji wa vyuo vikuu nchini. Kwavyovyote vile kazi yenu sio ndogo. Hongereni sana pia kwa kutoa miongozo mbalimbali ya...
5 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom