Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetangaza awamu ya pili ya udahili wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2020/2021 ambapo utaanza rasmi Oktoba 12 hadi 18 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi...
Vijina..,
Nimeoomba AVN kwaajili yakuombea chuo.
Ila kiukweli hatua ni nyingi mno nimepambana Nazo japo sina uzoefu ni mara ya kwanza na nimefanikiwa kumaliza pia wameniambia nisubiri ndani ya...
Refer to the heading above,
Naomba mnisaidie wana JF ni wapi ndani ya mkoa wa Dar es Salaam naweza kupata mafunzo ya lugha ya alama (sign language)?
Ni muhimu sana kwangu
Msaada tafadhali
Kwa walimu walio kwenye shule za kifundishia viziwi naomba mnisaidie materials zifuatazo:
1. Mtahala wa Kufundishia kwa awali na shule za msingi
2. Vitabu vya Kiada na Ziada
3. Vitabu vya Rejea...
Wataalam hv hadi sasa chuo cha NIT hakijaweka mazingora mazur ya usomaji au watu wanachuki binafsi na chuo hicho tuapene taarifa za hicho chuo upande wa mazingra ya kusoma.
Ushauri kidogo ndugu zangu.
Bachelor of Arts In Journalism na Bachelor of Arts In Mass Communication, ipi ni kozi nzuri, maana mdogo wangu anataka kuomba.
Ushauri tafadhali
Salamu, wakuu kuna ndugu yangu kapata GPA ya 1.3 first year. Kwa matokeo haya kuna namna ya kuingia mwaka wa pili??? Kweli
Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani
Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao.
Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye...
Salaam! Hongereni na poleni kwa majukumu, naomba msaada kati ya Degree ya Science (ICT) na Degree ya Science (Data Management) zinazotolewa na Open University of Tanzania ipi ni bora zaidi hasa...
Muongozo wa NACTE na TCU ukoje kuhusu mwanafunzi aliyepata carry-over akiwa mwaka wa tatu/mwanafunzi anayesoma kozi ya miaka minne akapata majanga mwaka wa nne semister ya mwisho vipi anaweza...
Ndugu wana Jamii Forums naomba mnasaidie kujua
Course ya INSTRUCTIONAL DESIGN AND INFORMATION TECHNOLOGY ina deal na nini na pia baada ya kuisoma unaifanyia kazi field gani
msaada plz🙏🙏
Ndugu mwenye taarifa anisaidie maana niko bush sana, nikijua mapema itapendeza maana nitaanza mapema maandalizi ya safari kwenda kutuma maombi!
karibuni ndugu zangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.