Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba ushauri wa kujiendeleza kwa mtu mwenye fani ya stashahada ya uuguzi na ukunga na fani hiyo ya kujiendeleza iwe tofauti kabisa na career ya uuguzi au ukunga
0 Reactions
8 Replies
2K Views
UDSM:Information on Issuance of Admission Letters to Students Admitted at the University of Dar es Salaam for the Academic Year 2016 /2017 Rasifa Tanzania iko nawe kila wakati,hili ni tangazo...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Naomba kunisaidia hili swali linataka nini.swali ni hili relationship between partnership and sole proprietorship and how their operation depend on each other
1 Reactions
9 Replies
847 Views
Habari waungwana, Baada ya kuona threads nyingi za watu wakiomba ushauri na miongozo juu ya kozi mbalimbali na uwezekano wa wao kudahiliwa katika vyuo vya ndoto zao, nimeona uzi huu ukutanishe...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu habarini, Nlikua naomba ushauri nimechaguliwa UDOM na UDSM sas nlikua naulza wapi afadhali niende na kwanini..
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Jaman hivi ni mimi mwenyewe tu ambaye sijapata majibu kuhusu vyuo hadi mda huu kwa upande wa diploma au wapo wengine??
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwa anae jua link za hostel za ndani au nje anisaidie chuo cha NIT 2020
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF, Natumai mko poa! Kuna rafiki yangu amepata admission MUST lakini akiingia kwenye account yake haoni andishi lolote! (kwasasa, alipokea ujumbe wa kufanikiwa kupata admission pale). Je...
1 Reactions
3 Replies
982 Views
Hivi naomba kuuliza mtoto uliemzaa anachukuwa akili za mama au baba?
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Naomba kuliza wadau, Hivi kati ya hizi kozi, ipi ni nzuri sana? Procurement and Supply, Accountancy and Finance, Taxation, Information Technology (IT) Na je, ni kwanini unadhani ni nzuri?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
IFM mpaka leo bado hawajapeleka majibu ya Diploma kwa waliopata sap na matokeo yametoka toka tarehe 3 mwezi huu wa kumi sijajua sababu nini lakini ukiwauliza wanasema watapeleka wakat dirisha la...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naomba kuuliza qualification ya kufundisha ngazi ya Diploma ya Afya (eg.Pharamacy, Medicine or Medlab). Je, unatakiwa upate GPA ngapi kwenye Bachelor holder yako ili uweze kukidhi...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Modes mniwie radhi nimefuta huu Uzi kwa ma main purpose poleni kwa usumbufu ulojitokeza
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakurugwa naomba kuuliza Mimi ni mwanafunz ninayeingia MWAKA Wa pili sasa MWAKA Jana sikupata loan HESLB lakin MWAKA huu NIMEOMBA TENA JE NAWEZA KUPATA?Je kuna continues student ambaye alishawah...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam Tumejadiliana kwenye magroup ya WhatsApp tukalifikisha kwa waratibu na maafisa wa elimu kisha tukalifikisha hadi kwa wadhibiti ubora wa elimu (wakaguzi wa shule) lakini kote huko ngoma...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Habarini za leo ndugu na marafiki. Uzi huu utakua maalumu kwa maswali na majibu, ya science, engineering, accounting na management. Nimeandaa maswali na majibu mengi tu ambayo yanafaa kwa uma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi kwa mwalimu wa ngazi ya cheti akitaka kujiendeleza Diploma. Je ni course gani ambazo ni nzuri kusoma? Ahsate. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
644 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na utaratibu wa kupata majibu ya maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi, Huu ni mtandao bora sana kwangu since I joined , hapa huwa napata nondo sana. juzi kuna mtu alianzisha topic kuhusu kuto kuona majina ya walio chaguliwa diploma, Mimi ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tuliokua tukisoma kuvunja historia ya Lipumba but tukaambulia one kali za EGM. Kwa mtazamo wangu watu kama Lipumba na Martin Chegere wamechangia sana kuinspire na kufanya wanafunzi wengi wa EGM...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Back
Top Bottom