Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mojawapo ya wadau muhimu wa matokeo ya mitihani kwa vyuo vya NACTE ni WAZAZI. Ni vema matokeo yakatolewa kama wanavyofanya NECTA ili iwe rahisi kwa wazazi kupata matokeo ya watoto wao kutoka...
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Nimechaguliwa kwenda kusoma shahada ya ualimu, sasa je endapo nkikuta somo moja wapo ya yale niliyochagua mim halifundish hapo chuoni nitafanya nini?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi kwa majina naitwa JUMANNE SELEMAN JUMANNE NI kijana wa umri wa miaka 17, Nmemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019, Baada ya hapo nlichaguliwa na TAMISEMI kujiunga na chuo cha utabibu Maswa-...
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Wazee nitoe angalizo mimi sio mzuri wa kuandika ila naomba tupige kelele angalau watawala wasikie katika elimu yetu hii kuna shida mahala. Wazee huyu baba(kuna video hapo chini) hapa anazungumza...
2 Reactions
0 Replies
695 Views
Habari wakuu, Kumekuwa na changamoto ya ku-confirm chuo kwa waliopata multiple admission, Uki-request code inaonesha code imetumwa lakini haifiki.Dogo kapata loan na inaonesha amepangwa chuo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa kuhusu kakonko miundo mbinu, umeme, huduma za afya.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ushauri: Online class masomo ya sayansi katika kipindi cha corona wapewe walimu wazoefu;- Muddy physics, Mgote, Mbuga, Mkandawire na makumaku Kutokana na mchango mkubwa wa hawa manguli wa lecture...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Je unakumbuka nini katika maisha yako ya kitaaluma ukitajiwa hawa watu? Kama wewe umesoma sekondari miaka ya 1998 kwenda juu utakua unanielewa sana hapa. Mwenye update za hawa mageneus Wa hapo dar...
4 Reactions
80 Replies
16K Views
Kwa wastani wa siku nzima (Saa 24). Paka hutumia masaa 16 kulala, na masaa 5 kwa ajili ya kujilemba/kujipamba, kwa masaa mengine 3 hutumia kufanya mambo mengine.
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Wakuu naomba kuuliza Kama syllabus mpya kwa ajili ya wanafunzi watakaoingia darasa la 7 mwakani waliopo darasa la 6 mwaka huu ambao ilitakiwa wamalize shule mwaka huu, kwa maana kulikuwa na mpango...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Erasmus Mundus Joint Master Degree Programme is inviting applications for the Erasmus Mundus BDMA International Masters Programme in Europe 2020. The Erasmus Mundus Joint Master Degree...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii Ni kwaufupi sana. Vifuatavyo Ni Vyuo bora katika Nafasi na Taaluma zake. Taaluma na Chuo bora. 1-Mhimbili University of health and allied science (MUHAS) kwa Afya. 2-National Institute of...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani nauliza hivi mtu aliyesoma shahada ya sanaa na elimu je? anaweza kufanya kazi gani nje ya kufundisha
0 Reactions
53 Replies
22K Views
Habari ndugu, Naomba kuuliza kama nitaruhusiwa kuappeal mkopo kwani nilipata asilimia chache sana kwa mwaka wakwanza na nilishindwa ku-appeal kipind kile kutokana na sababu zilizokua nje na uwezo...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Vijana hawajui fate yao na vyuo vinafuguliwa 16/11/2020. Huwezi kufanya lolote bila matokeo ya mitihani, tatizo liko wapi? CEO wa NACTE unafeli wapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu naomba tujuzane kozi zenye wahitimu wachache Tanzania ikiwezekana tujuzane na idadi ya wahitimu
0 Reactions
71 Replies
20K Views
Wadau wote tunajua jinsi gani Social media ikiwemo Favebook zilileta mabadiliko makubwa katika ulimwengu wa leo kuanzia Siasa, kiuchumi na hata Kiutamaduni sasa hapa najaribu kufikiria je matokeo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Chuo cha Usafirishaji (NIT) kitaanza kutoa mafunzo ya urubani ambapo tayari kimepokea Tsh. 48.9 bilioni kutoka Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya ununuzi wa ndege 3 za mafunzo, kujenga karakana, na...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wanajamii ,namaswali naomba tusaidiane kuhusu koz ya business administration kwa bachelor d *kozi ipi Bora ya B.A ya -BA in general , - B.A in logistics and procurement, -B.A in marketing...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari zenu wadau,husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa mbinu,ujanja na connection ambazo watu wanatumia hadi wanafanikiwa kubadili course hapo Udom. Kwa ufupi mimi nimechaguliwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom