Awali ya yote napenda kuweka sawa au kumrekebisha Deadbody maana niliona kwenye Uzi fulani akimtaja huyo T.O ni Immaculate Mosha kitu ambacho si cha kweli.
Mnamo mwaka 2010 mwanadada yatima...
I have come to realize this as I grow up, many educated people are just so poor, can't be able to meet their own needs and can't even make some decent achievements despite being considered very...
Natafuta kitabu cha
Robert Kiyosaki kinaitwa Fake
Book name: FAKE
author; Robert Kiyosaki
nmejatibu angalia www.pdfdrive.net sijakipata na website nyingine nnazozijua
Ambae anacho anaweza...
Ndugu wanaJF,
Tumezoea baada ya mitihani ya darasa la saba inachukua mwezi mmoja matokeo kutoka. Lakini mwaka huu matokeo yamezidi kiasi hicho cha muda na hakuna tetesi. Kwa kuwa JF ni sehemu...
Wadau nauliza utaratibu wa HESLB 2020/2021 juu ya wanafunzi wa POSTGRADUATE kunako upewaji wa Mkopo, JE nawao wanaunganishwa kwenye hizi BATCH 2 zilizotangazwa?
Wakuu hamjambo!!?
Naomba kusaidiwa, hivi tatizo Ni Nini maana nimechaguliwa chuo Cha maji lakin mimeenda wananiambia sina sifa za kujiunga na hicho chuo kwa sababu nimesoma PCB mpk ningekuwa...
Habari ya muda huu wanajukwaa!
Naomba kufahamishwa / kuelekezwa namna ya kupata INVOICE kwa ajili ya kulipia ya Accommodation (makazi) na Tuition Fee (Ada) kwa chuo cha Sokoine University of...
Naomba kufahamu wanachuo wanaoendelea na masomo, wengi wakiwa mwaka wa pili walioomba mkopo mwaka huu(2020/2021) wamaweza kupata?
Na huwa batch ya kwanza haiwahusu kabisa! Au inakuwaje! Wakuu...
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya wanafunzi 5168 wa awamu ya pili wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.9 bilioni.
Taarifa...
Habarii zenuu .. Naombeni ushauri wenu jamani , nime pata Repeat module ya CA clinical assistance , nataka kwenda Advance nikapige HKL niachane tu na Afya kabisa umri wangu ni miaka 20 .
Habari ya majukumu members;
Tafadhalini saana, naomba ushauri wenu ili niweze kumsaidia mdogo wangu kufanya uamuzi wa busara.
Mdogo wangu jinsia KE amebahatika kupata admission ya kozi mbili...
Samahani wakuu, nilikua nauliza utaratibu wa mwanafunzi kujiunga na law school of Tanzania akitokea Kenya. Ni vitu gani vya muhimu anahitajika kuwa navyo.
Natanguliza shukrani.
Kwanza ningependa kutoa hongera zangu za dhati kwa wanafunzi ambao wamechaguliwa katika vyuo mbali mbali kujiunga na elimu ya juu hasa kwa ngazi ya degree pia ningependa kutoa pongez kwa hata pia...
Wakati uleeee tukisoma, kulikuwa na Tuition moja ipo pale Mwenge nyuma ya Nakiete Phamacy (MAPAMBANO TUITION CENTRE) Nakumbuka kipindi kile wanafundisha wakina Selemani matipa, Magnus kibonde...
Necta imeifungia Shule ya wasichana Alliance ya Mwanza na sasa shule hiyo itakuwa kituo cha kufanyia mitihani tu kutokana na kasoro mbalimbali pamoja na Udanganyifu uliofanywa na shule hiyo katika...
Kumekuwepo na matatizo makubwa NACTE mnapotuma matokeo ya watoto vyuoni.
Mtoto hawezi kuyaona ontime pia na wazazi. Kumekuwa au kuna uwezekano mkubwa hata wa ku- manipulate/ku-temper na ufaulu wa...
Wakuu naomba mbili tatu za hii kozi
Soko lake kwa Tanzania
Ajira zake ni zipi na wapi?
Ugumu wake
Je Kama kunauwezekano wa kubadilisha na kwenda kozi nyingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.