Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Natafuta shule ya Olevel iliyopo Kimara,nina mdogo angu form 2 nataka nimuhamishie. Mimi naishi Kimara Baruti
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naombeni mnisaidie namtafuta mwalimu wa Kunifundisha English so that i can speak fluent English. Niko karagwe mjini its very urgent i need teacher to teach me fluently English. Niko tayari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kuchukua fursa hii kuuliza juu ya mafunzo yanayotolewa vyuo vya ufundi,na kwa umuhimu wa pekee natafuta kujua ni muda upi unahusika kwa mtu kusoma hadi kuhitimu course ya Hotel Management...
2 Reactions
3 Replies
7K Views
The existence of be perfect competition depend on number of strict condition prevailing on the market with firm operates.with example discuss the condition and show if it applicable be in the...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ombi kwako Rais wangu. Shule za Serikali za english medium ni chache sana. Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto wao kwenye shule za msingi za...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau, mwenye uelewa kuhusu utamu wa elimu ya usafirishaji nitatusua kweli kwenye maisha ya asaiv au ni chenga chenga nisipoteze muda wangu.
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa. So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habar zenu jamani mi ni mgeni humu ndan nina shauku ya kujua kuwa naweza fanya kazi ya aina gani baada ya kusomea it?. Na pia kama nilisoma mchepuo wa arts o- level na mathematics nilifeli je...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za leo wakuu, Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market. Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa...
1 Reactions
11 Replies
997 Views
Samahani, Naomba kuuliza mtu anayesoma kozi hiyo ya project planning and management anaweza kuapply wapi kazi? Nahitaji kusoma kozi iyo nitakapomaliza form six. Msaada tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Hakuna jambo baya kama wizi wa mitihani kwani hupelekea kupata mabosi Vilaza na kutuletea tabu kwenye taifa. Wilaya ya Kilindi ilikua ni mojawapo ya Ngome za uvujaji wa mitihani , ilifikia hatua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF. Naomba kufahamishwa utofauti kati ya kupata mfano: Upper second division with honor/honour na Upper Second division. Ahsante.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina kijana anahitaji kusoma masuala ya ufundi anapenda hasa masuala ya bomba yupo kanda ya ziwa na nikaona Chato ni karibu zaidi lakini mpaka sasa sijui utaratibu wa VETA hii uko...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wandugu, nimeuliza wahadhiri, wanafunzi wa vyuo hawakueza kunijibu. Je, degree with Honors inakuaje? 1. Kuna waliosema anapewa mtu ambae hakuwahi kuwa kuwa na Supplimentary ila nimeshuhudia wenye...
2 Reactions
130 Replies
20K Views
Katika kukabiliana na tatizo kubwa la wanafunzi wa vyuo vikuu kukosa mikopo,napendekeza zianzishwe tozo maalumu kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Bodi ya Mikopo kwa lengo la kuwezesha watoto wa...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Jamani wadau naombeni msaada wenu mm nilifanya mthni wa kujiunga na veta mwaka Jana nikachaguliwa kozi hii LABORATORY ASSISTANT. Hivyo wadau, naombeni msaada: je, kozi hii vp ajira yake yani soko...
2 Reactions
34 Replies
9K Views
Katika pitapita zangu mjini si nikakutana na mchette akiwa kwenye mishe zake akaniita 'we idara nyeti upo kijana wangu mtukutu nikamwambia mie saivi mtukufu nikakumbuka long maisha ya Kigoma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada, sijaelewa hili swali, msaada tafadhali, In not more than a page, draw your experiences with writing discourse as a university student.
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Hivi hii taarifa inayoenea kuwa deni linaloonekana kupungua kwenye salary slip ni tofauti na uhalisia uliopo kwenye database ya HESLB ina ukweli? Tupeni uzoefu kwa mliowahi kuomba Loan statement...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya watu Jana kuniomba niwaelezee jinsi ya kupata nafasi kusoma ulaya. Kwa ujumla nchi nyingi ulaya hazilipishi ada kwa wanafunzi(ufaransa +Germany+ Finland+Norway{not sure}[Belgium ipo ila...
15 Reactions
106 Replies
24K Views
Back
Top Bottom