Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli.
Lakini pamoja na kufanya...
Tuna jinasibu kuwa uchumi wetu unategemea kilimo wakati kijana anaemaliza darasa la 12 au kidato cha nne hana ujuzi wowote wa kilimo unaomzidi alieishia darasa la saba. Wakati kijana huyu alisoma...
Cheza mnapochezaga ila tambueni waliomaliza form four 2012 na form six 2013 na wakafaulu hao ndo vipanga ,imagine 60% ya wanafunzi waliomaliza form four 2012 walipata Zero ,34% walipata div four...
Wadau kwema,
natumai mmeanza siku vyema. Moja kwa moja niende kwenye topic.Kuna ndugu yangu mmoja hapa ana ndoto za kufanya kazi kwenye sekta ya usafiri wa anga . Ili kuanzia kufanya kazi kwenye...
Wakuu Salaamu..!!
Ningependa kufahamishwa course gani kati ya nitakazozitaja hapa chini ni nzuri katika Chuo Cha kilimo cha Sokoine - SUA na pia upatikanaji wa ajira kwa course hizo. Kozi zenyewe...
Jifunze maswali ya interview kuhusu Practical ya Microsoft word... fuata link hapo chini
https://m.youtube.com/channel/UCCTZ8iCy4CaUI4oxDJcO7_Q
Maswali ya ni possible kuulizwa kwenye usahili si...
Kama ambavyo tunaona siku hizi matokeo wanawekewa online unatazamia ukiwa kitandani. Tofauti kidogo nasie wakongwe wa enzi hizo kulikuwa hakunaga cha mambo ya kuwekewa online bali mnabandikiwa...
Wakuu, nawasalimu!
Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16...
Hivi utaratibu wa kuomba vyuo vya serikali kwa ngazi ya cheti na diploma kwa walomaliza kidato cha nne mwaka jana uko vipi?
Wanaomba kupitia nacte au chuoni moja kwa moja.Mwenye taarifa juu ya...
Habari zenu wanajamvi.
NILIKUA naomba msaada kwa anayejua kitabu kizuri cha Electrical Engineering ambacho kinahusu Umeme wa viwandani na system zake ili niweze kukidownload.
Ni hayo tu.
Naomba uzi uwe safi, udini usiingie humu, nazungumzia shule za kiislam sio dini ya kiislamu, maana huko kweny shule hata walimu wakristo wapo, ila huwezi kumkuta mkristo kwenye dini ya Kiislamu...
Habari inayobamba kwa sasa kuhusu Elimu yetu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya darasa la 4, darasa la 7 na kidato cha 4 ni kuhusu mkoa wa Mtwara kuingiza shule 9 kati ya 10 kwenye orodha ya shule...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninaomba kufahamu ni kozi gani za degree ambazo sina soko kwa vijana waliosoma comb. ya E.G.M kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Appeal ya bodi ya mikopo imetoka tokea tarehe 24 lakini wamesema tu ni watu 2000 lakini hakuna pdf ya majina sasa mtu atajuaje km kapewa?
Pili wanasema watu wachek kwa account zao akaunt zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.