Natumaini mpo salama wana jf,
Nina swali hapa, napenda kupata maelezo kwa anayeelewa zaidi kuhusu course inaitwa NABE. Sijui ina maana gani ila kwa tetesi nasikia usipofikisha 'D' 4 form four...
Today I want to speak about success through the famous book titled '' SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND" BY T.HARV EKER.
from Eker's work I am encouraged with the following quotations:-
1. "if you...
Habari zenu wana jukwaa!
Nimekuwa nikijiuliza sana hilo swali mpaka sipati jibu. Eti lecturer anatoka Dar Anakuja kufundisha Dodoma INA mana kuna uhaba sana Wa vijana Wa Ku cover hizo nafasi...
Ninaomba kama kuna mdau anaweza kuni connect na DJ yoyote anayetoa mafunzo ya UDJ hasa kwa mashine hizi za kisasa pioneer Serato etc.
Nina kijana naona mzuka wake ni kuwa DJ, ndoto yake ni kuwa...
Nina matumaini wote ni wazima humu ndani, naomba kuuliza hivi kwa mfano mtu amesomea ualimu na baadae akataka labda kuwa mphamasia inawezekana akaenda kusomea ufamasia?
Hivyo akawa na taaluma...
Habari Wana Jf,
Nina mdogo wang kamalza form four mwaka huu alisoma hats kapata masomo yote D isipo kuwa mathe kapata F je ni course gan itamfaa na yenye ajira?
Na je akienda kusomea mambo ya...
Naomba kujuzwa kama naweza kusoma sheria huku nikiwa sipo chuoni moja kwa moja. Yaani nikiwa naendelea na shughuli zingine.
Naomba list ya vyuo kama vipo, vya Tanzania pekee, gharama na jinsi ya...
Tuboreshe mifumo yetu ya elimu kwa kuboresha mitaala iendane na mahitaji yetu ya leo na kesho.
1. Elimu ya msingi na sekondari iwe miaka 7 pekee
Y 1-3 kusoma na kuandika
Y 4-7 Basic life skills...
Wakuu habari, hivi inawezekana kusoma Dip/cert ya sheria part time au kama wanavyofanya Open University.
Kama inawezekana Ada yake sh ngapi na vyuo vipi vinafanya hivyo.
Habari za kazi wandugu
Natarajia kumaliza degree yangu hivi karibuni mwaka huu, sasa kutokana na uhaba wa ajira na ukizingatia umri umeshaenda nataka walau nijifunze na udereva kwa ngazi ya VIP...
Habari za Jumamosi waungwana,
Mara nyingi nimetafakari, nimejisomea na hata kuuliza maswali kuhusu bahari na mambo yake.
Kwa watumiaji wa usafiri wa majini bila shaka wamekutana na misuko suko...
Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Lusinde (Mb) amesema kitendo cha ubunifu wa ujenzi wa shule tatu za mchepuo wa kingereza ambazo zitakuwa zinamilikiwa na Serikali kupitia Halmashauri...
Habari wana jukwaa.
Chuo cha Maji kinapenda kutangaza nafasi za masomo katika ngazi ya certificate na diploma kwa mwaka wa masomo 2017/18.
Courses zitolewazo katika chuo hiki ni:
Water Supply...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Mimi ni mwalimu wa masomo ya bailojia (Biology) na kemia (Chemistry) kwa ngazi ya kidato cha 1 mpaka cha 4.
Hivyo kutokana na mzunguko wa materials kuwa bado...
Mimi ni kijan 26,nmehitm kdato cha 4 mwak2015 ,nmesom katk mazngir magumu nkaambulia 3 kwa ufaul huu,
Civ D
His D
Geo C
Eng C
Kisw C
Lit D
Phy F
Chem D
Bio D
Math D
Nliomb chuo kwa ahad ya mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.