Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naombeni msaada jamani comb gani mngenishauri kusoma nilianza kufanya mtihani wa QT 2019 then mwaka jana nikafanya CSEE 2020 Mungu amesaidia nina Dvn 1:12 lakini natamani kusoma CBG advance nipeni...
3 Reactions
42 Replies
8K Views
Angalau hicho chuo kiwe kinatoa kozi mojawapo inayohusiana na magari. Kiwe ni chuo cha private. Nasisitiza. Kama una mtu wa aina hiyo au ni wewe, please naomba tuwasiliane. Nina shida ya muhimu...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Uzi huu nimeamua kufikisha jamvin kwa lengo la kuonyesha njinsi Uongoz wa SUA unavyofanya mambo kwa kutokutafakari kwa kina kama Ifuatavyo; Hivi punde uongoz umechukua maamuz ya kuwafutia pesa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu Habari, Naomba msaada wa kujua chuo kinachotoa kozi za IT hapa Morogoro mjini kwa ngazi ya cheti kuna mdogo wangu anapenda kusoma IT.
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu natanguliza salaam. Kiukweli hii tabia ya serikali kufungia vyuo hasa vya ngazi ya chini tunaoteseka ni sisi maskini. Unakuta mzazi amejichanga na kuweza kulipa ada ya chuo husika ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Wakuu JamiiForums ndio kibanda changu cha ushauri hapa nafurahi kushauriwa mambo kadha kadhaa na wadau,nikipata shida nakuja hapa naamini kuna wataalamu mbalimbali. Ni hivi wakuu mimi nimemaliza...
3 Reactions
115 Replies
14K Views
Habari zenu wadau, Hapa mkoa wa Mwanza Shule ya Msingi Nyanza imeabadilishwa kuwa ya English medium. Ni moja ya shule za msingi kongwe hapa mjini alizoacha mkoloni mana nikipitaga hapo nje...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu mm ni mwidofo napenda kuuliza vigezo vya mtu kujiunga na Chuo cha wanyamapori ngazi ya degree namanisha ni masomo gani wanaangalia kwa upande wa advance ...Ahsante
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel)
0 Reactions
8 Replies
972 Views
Mimi nimemaliza form 4 2020 Nimepata Kiswa- B History D Eng- C Geo - C Civ - C Bios - C Math F Nina division 3 ya 23. Je, naweza kuchaguliwa shule za serikali?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
1 Reactions
20 Replies
11K Views
What are the main types of production function and what are their application in economic problem?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tuweke ushabiki kandoo.. Nataka kujua nani ana mzidi mwenzake haswa katika nyanja zifuatazo; 1. Marketability 2.payment 3. Allowances. Pia nataka kujua baada ya kuchora ramani archtecture...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Community development na public administration ni kozi ipi Kati ya hizi nimshauri ndugu yangu akasome maana matokeo yake ya form four siyo mazur Biology-b chemistry-f Physics-f Math-f...
0 Reactions
5 Replies
890 Views
Wakuu Habari, Naomba msaada wa kujua ni njia gani zinaweza kutumika kukariri darasa kwa mtoto aliekuwa kidato cha kwanza na ambae nahitaji arudie tena kidato hicho hicho kutokana na ufaulu wake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hebu jamani hivi kuna tofauti kubwa sana kati ya wazee wetu walioishia darasa la nane na hawa graduates wa leo wa chuo kikuu? Graduates hawajui Kiingereza wala Kiswahili fasaha. Uandishi wao na...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika kusoma soma huku na kule nimekuatana na kitu ambacho kimenichanganya; labda nilete kwenu wana ndugu. Ipo hivi: Katika kufuatilia historia ya Dinosaurs inasamekana kwamba waliishi miaka...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani wakubwa wanaJF, tafadhali naomba msaada wa ushauri kwa haya matokeo. Physics D, Chemistry C, Geography C, Civics B, History C, Kiswahili B, English C, Mathemetics F, Biology B. Lengo ni...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Habarini Wakuu, poleni na majukumu Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza mimi ni mwanafunzi nasoma degree ya Procurement and Supply Management. Nilikuwa naomba mnishauri kampuni au taasisi nzuri za...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa wale ndugu waliohitimu na kufaulu kidato cha nne mwaka 2018. Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2018 na wanaotegemea kujiunga na kidato cha tano pamoja na...
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Back
Top Bottom