Wale wote tuliosoma Moshi Tech tupeane stori za miaka hiyo nakumbuka kuna Mwalimu alikuwa anaitwa Mpande ikifika saa 11 tayari yupo mabwenini anaamsha watu mchakamchaka alikuwa noma soma huyo...
Wakuu natumaini hamjambo mnaendelea na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.
Naomba mwenye uelewa na kozi tajwa hapo juu na chuo kinachotoa hiyo kozi kwa ngazi ya shahada anisaidie...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amwagiza mzabuni wa kufunga mashine katika kiwanda cha kuchapisha vitabu kilicho chini ya Taasisi ya Watu Wazima kukamilisha...
Wasalaam,
Natumai mko poa.
Naomba mwenye anajua au mwenye nayo syllabus ya computer study inayotumika kwa Sasa anijulishe naipata vipi /anipe(in soft copy)
Natanguliza shukrani.
Habari za Nazi wakuu poleni na majukumu,
Niende kwenye mada moja kwa moja
Hivi kuna mtu anayejua kozi ya Mortuary Attendance inapotolewa hapa Tanzania kwa level yoyote ile?
Habari wakuu.
Nimemalza kdato cha 4, 2013, na nimescore div one ya 12 {A ya bios na math, zlozobak B+ kasoro civic ndo B}ila kutokana na matatzo ya kiafya nilisoma kwa miez miwili 2,mpaka juz...
Skills au ujuzi upi ni muhimu kuwa nao kijana wa kitanzania mwenye umri kuanzia 18 na kuendelea labda mwisho35 (awe ana soma au yupo mtaani.)vyovyote vile ilimradi kijana.
Nia na madhumuni ya uzi...
Habari za muda huu na hisi kuna sehemu na kwama kwenye kusoma kwangu hivi ni kipi natakiwa nianze kusoma kati ya notes za mwalimu au hivi vitabu reference books shida yangu kubwa niwe na utambuzi...
Najiuliza swali Hili: Kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku somo la Sasa likiendelea kufundishwa kwa kingereza? Je kutakuwa na somo jipya la Historia ya Tanzania litakofundishwa kwa kiswahili...
Nina mtoto wa dada yangu amemaliza degree ya sociology!!!
Mwaka 2019 Toufil kisanji mbeya!!anataka kusoma master ya sociology UDSM!!hii ni baada ya yeye kusema anaona bora akasome mastazi ili...
Salama wanajamvi.
Nimekuwa natafuta sana kuona au kujifunza historia na asili ya mirengo ya vyama vya siasa. Kama yupo wa kuweza kunisaidia naomba msaada ntajifunza kwa lugha yoyote.
Naomba...
Wakuu ninaomba msaada wa kupata vitabu vya Shule ya Msingi, ambavyo ninaweza kupakua toka mtandaoni.
English for Standard Seven, Pupils Book.
Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi- Darasa la Saba...
Habari za muda huu ndugu zangu, naombeni mifano ya cases report maana nahitaji kuandaa cases zangu ila kinachonishinda upangiliaji mzuri wa kazi, asanteni sana na samahani kama kutakuwa nimetumia...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada kwa wenye ufahamu juu ya performance ya Amana bank katika hizi five consecutive years up to 2019 by using CAMELS rating model.
Nataraji msaada wenu wakubwa!!
Na nyinyi jaribuni bahati zenu kwa kuomba scholarships nje..
Tanzania (Chevening Scholarship) | Chevening
Tanzania - University of Liverpool
Tanzania | University of South Wales
Your country...
Habari wakurugenzi?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naombeni maelekezo kwa wenye uzoefu, nahitaji kujua
√ Taratiibu za usajili
√ Mahitaji ya kuanzia
√ Changamoto zake
Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki.
Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle...
Sheria inasemaje kuhusu hili?
Ikiwa mtu umeamua tu kuanza kusoma upya toka elimu ya form one? na ukafuata utaratibu wote kama vile ada, sare n.k
Kiufupo nimemiss tu kuwa darasani na kufundishwa/...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.