Watu mliowahi kufanya mtihani mgumu wa uhasibu wa utumishi wa umma (GOVERNMENT STANDARD ACCOUNTANCY EXAMINATION).
Je, hii ni mitihani gani? Ukimaliza na kufaulu unapata/unatunukiwa nini?
Kuna...
Huwa nakaa nafikiri hivi hii shule tunayosoma na tunaosomesha hivi ina umuhimu saaana? Sipo kuharibu fikra ya mtu ila ngoja niseme yangu na ku-comment chochote ruksa ila sio povu ok.
Kiupande...
Waziri wa tamisemi: Seleman jafo ametoa nafasi ya kubadilika tahsusi.
Amesema dirisha hilo litafunguliwa leo mpaka tarehe 11-4-2021 amesema wataruhusiwa kubadili machaguo ya chuo au advance na...
Habari,
Wadau naomba mnisaidie shule za private kidato cha tano ya bweni, zinazopokea reseaters (wanaorudia mtihani kidato cha nne) iwe wilaya yoyote ya Njombe. Ambayo wako vizuri iwe ya...
Wana jukwaa habari zenu, kwanza kabisa ningependa kuwapa pole ndugu jamaa na marafiki walioguswa kwa namna moja ama nyingine katika janga hili lililoikumba dunia kwa sasa ugonjwa wa covid-19, pia...
Naomba ushauri toka kwenu wataalamu wa taaluma na ufundishaji kutokana na tabia niliyoisikia ktk shule hii. Nina mtoto ninayemsomesha ktk shule hii ya Bendel memorial iliyoko moshi eneo la soweto...
Zamani enzi za ujinga tulikuwa tukiaminishwa ukiwa kipanga then ukisoma PGM (GEOGRAPHY, PHYSICS & MATHEMATICS) ndio ticket pekee ya kuwa rubani.
Vyuo vingi au karibu vyuo vyote vya urubani...
Soma kwa umakini DOCUMENT hii.
Kama utakuwa makini na kuna biashara ambazo unazifanya basi inaweza kuwa mwanzo wa kuepuka kuendelea kupoteza fedha zako kujifunza vitu ambavyo havina msaada kwenye...
A workshop on 'Leadership Skills among Youth' was organised recently by Uslub services group for students of Amar Singh College in Jammu and Kashmir's Srinagar.
Education
ANI| Srinagar (Jammu And...
Kwa kweli watu wa Mzumbe wamenitamanisha sana....
hebu na sie wa Mkwawa tukumbukie enzi......ukisikia hiki kipande cha Singo hili unakumbuka nini
Mkwawa Shule twaipenda, Mkwawa Shule twaipenda...
The College History in brief.
The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself. It was soon after Independence on 9th December 1961...
Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda.
Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge...
Ivi inakuaje mtu unapply chuo kinaitwa St. Joseph then ukiingia unapelekwa institute unaitwa MARY IMMACULATE INSTITUTE OF TECHNOLOGY is this fair jaman vijana baadhi tunapata changamoto kubwa juu...
Mimi nlikuwa ni mwanachuo wa chuo Kikuu huria lakini nilipofika mwaka wa pili niliandika barua ya kusitisha masoma na kuondolewa kabisa kwenye system ya chuo hicho ili niweze kujiunga na vyuo...
Maana likizo zote siku hizi hakuna watoto wanasoma muda wote likizo fupi zote imefutwa kiaina watoto mpaka wanachoka balaa, maafisa elimu wanakomaa eti watoto wasome wala hawaangalii kupumzika...
Habari Wana JF,
Inawezekana Mining engineer kusoma master of civil (structural) engineering?
Na Kuna uwezekano wa kupata fully funded sponsorship ya kusoma master?
Swali la kwanza limekosewa
http://www.math.ubc.ca/~israel/m215/roo/
Jibu lake liko kwenye attachment hiyo hapo chini. Ni jibu na si njia ya kufikia jibu hilo. Aliyefanya swali hili atakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.