Wakuu habari za mihangaiko..
Nilikuwa naomba, kujuzwa vitu vifuatavyo kuhusu chuo cha wanyapori , Pasiansi wildlife, kilichopo Mwanza.
1. Sifa za kujiunga na hicho chuo
2. Kozi zitolewazo
3...
Habari zenu wana jf.. mimi nina bachelor (B.sc.ed), nafikiria kujiunga open university ..nataka kuchukua MBA mwaka huu..ila nahitaji-ushauri kwanza je chaguo langu ni sahihi kwa hali ya...
nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwanza kwa mwenyezi mungu....... Kabla ya kuandika Uzi huu... Wadau naombeni kama kuna civil eng student wa UDSM hapa JF atupange kidogo sisi first...
Habari zenu wakuu! Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayefahamu shule ya advance level ambayo ada yake ni bei nafuu naomba anijulishe... Iwe ya mchanganyiko au hata ya boyz tu.
Naomba...
Ili tuelewane vizur naomba kutumia lugha ya nyumbani.
Nina mdogo wangu anaitajika kuingia kidato cha kwanza mwaka 2017 nilikuwa naitaji kufahamu bei ya shule za secondary iliyo na bordind ambayo...
Msaada anayefahamu shule za bei nafuu za secondary Tanzania ambazo ni za bweni na ni za private lakin pia ni mchanganyiko na ambazo ada yake ni kati ya 1m-2m
Msaada tafadhali
Kozi nyingi chuo kikuu zina hesabu siku hizi, so km ulijidanganya kwamba utakimbia hilo somo sahau, ni kozi chache sana tena zisizo na tija ndo hazina hesabu, zamani Hesabu ilikuwa km elective ila...
KUMBUKA KUZINGATIA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KAMA IFUATAVYO
Wahitimu wa kidato cha nne waliohitimu kuanzia mwaka 2015 hadi 2019 wanaruhusiwa kutuma maombi.
Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu katika...
Habarini za muda Wana jamvii Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu. Nilikua nahitaji msaada wa mtu anawezaje Kuhama chuo kikuu Fulani kwenda Fulani baada ya semester moja au baada ya...
Naomba ushauri au elimu au Ufahamu kuhusu ubora wa simu za Samsung toleo la M series.. Na Ubora wa Simu za oppo na series ipi ni bora
Na ushauri kama nataka kuchukua simu kati ya hayo makampuni...
Nataka iwe ya kisasa na Lengo ni kuiongeza chumba cha kulala na dinning room na kupanua jikon, pamoja nipate na store, . Ilivyo kwasasa ndio hivyo Ktk picha na ramani ya sasa ndio hiyo...
Wadau nimebahatika kuitwa Interview ya hawa jamaa, naomba mwenye uzoefu tafadhali nataka nikaongeze jiwe la Pili kwa Trump.
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Habarini za jion wadau wa JF,
Naomba msaada wa kuunganishwa kwenye magroup ya watsap ya mafundi wa vifaa tiba kwa njia yoyote ile,ata kwa kutumia link.
Asanteni.
Mwenye uelewa na hii kozi ya maendeleo ya jamii(community development) inayotolewa SUA anasaidia ni wapi utafanya kazi na je ni kozi yenye soko kwa sasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.