Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wadau wangu , naomba kujua jina la shule hapa Tanzania inayofundisha ki jeruman au kifaransa nataka mwanang akasemee hapo mwakani nadhamiria ajue lugha mbili kijeruman na kingereza au...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Mimi binafsi baada ya cheti cha form four nimeendelea kupata vyeti vya mandatory training.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, nikisomea Shahada ya jinsia na maendeleo. Kutokana na ukweli ulioko katika Soko la ajira nadhani huu ndio muda sahihi kwangu kujipanga katika kutafuta fani...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukweli utaratibu uliofanya TCU wasitambue watu waliosoma engineering science kwenda kuchukua degree hasa za science kiukweli utaratibu huu unaumiza sana watu waliosoma shule za ufundi kama...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wakuu...poleni na kazi nlikuwa naomba mnipe mwanga kidogo kuhusu hizi theories on the origin of the earth nebular theories protoplanet theory encounter theory big bang theory fission theory...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni mnishauri kwa Matokeo haya ya kidato cha sita; Chemistry-E Biology-D Geography-D BAM-S
0 Reactions
6 Replies
863 Views
Habari zenu wakuu, Mwaka jana niliona fursa za kusoma nje nkaamua nijaribu kuomba, ila sikupata, pamoja na kuambatanisha vigezo vyote na documents kamili zilizohitajika. Mfano mzuri ni hizi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Naomba msaada kwa anayejua vizuri kuhusu degree ya law enforcement na kanuni zinazohitajika ili kusoma kozi hii, na ni wapi inapatikana tofauti na udsm. Mimi nasubiri matokeo ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Secret code ambazo ulikua uzijui kwenye simu yako [emoji350] Kuna Mambo mengi yamejificha ya Siri kuhusu simu zetu tunazozitumia lakini atuzifahamu hivyo tunazichukulia poa sana simu bila kujua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
NGAZI YA ELIMU (1) UFUNDI STADI (2) UFUNDI (3) VYUO VIKUU (4) UTAALAMU (5) ELIMU HAINA MWISHO 10 Shahada ya Uzamivu Shahada ya Uzamivu <<=== 9 Shahada ya Uzamili Shahada ya Uzamili...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Napataje salary slip jaman nimetuma picha ili mjue nilipo fikia kila nikijaribu kujisajir inagomaa inaload muda baadae inakata Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, nina mdogo wangu amemaliza chuo(degree),2019,ila kutokana kukosekana ajira, anahitaji akasomee kupamba maharusi, na mambo ya saluni ili afungue saluni ajipatie angalau hela...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nataka kujiunga na chuo hiki mnamo mwezi wa 9 ikiwezekana, ushauri wenu tafadhali kuhusu ubora wa chuo hiki pamoja na uzuri wa course hii ili nisije nikaingia chaka.
0 Reactions
44 Replies
13K Views
Habari wakuu, Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada husika Wakuu naombeni msaada ili niweze kupata platform itakayonipa nafasi ya kunisajilia uwezo na kipaji changu cha kuimba ili kutengeneza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni mnufaika wa HESLB jambo lililonipelekea kuandika uzi huu ni kwamba sikuweza kusaini pesa ya meals and accommodation ya mara ya pili hii ni kutokana na kuwa na pesa ambayo binafsi niliona...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu jaman mi ni mwanachama mpya. Nilikuwa naomba kuuliza ivi wale wanaofanyaga uchunguzi wa udongo ni walisomea course gani chuo naombeni mnijuze hapo.
0 Reactions
4 Replies
981 Views
Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki. Au pia uwezo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom