Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarini za mchana ndugu zangu,kuna kijana wangu amechaguliwa kujiunga na shule ya Kamagi Sekondari, kidato cha tano (HGL) iliyoko wilaya ya Sikonge mkoani Tabora na kama mnavyojua mwezi ujao...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Baaada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa rasmi leo hii. Yakionesha ufaulu mkubwa katika shule za serikali kuliko shule binafsi. Katika kumi bora ya shule zilizongoza kwa ufaulu binafsi...
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Heshima kwenu wana Jamvi, mie mpya mpya hapa jukwaa la Elimu japokuwa huwa nasoma na kuelewa mada mbalimbali, hongereni. Ndugu nyote, Ndugu mama Ndalichako, Elimu, Elimu ,Elimu ya Tanzania Mambo...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Kama kuna shule binafsi zinaanza mosomo ya Pre-Form Five mwezi ujao wa pili hii maana yake, shule za serikali miaka yote zitakuwa zinaburuzwa na shule za watu binafsi kwa sababu zilizo wazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau wa Elimu. Naomba kufahamishwa ile Leaving Certificate unayopatiwa baada ya kuhitimu kidato cha nne au cha sita. Ina kazi tena baada ya kuwa umeshapata na vyeti halisi vya kuhitimu...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita. Point yangu ni kuwa: 1. Kama mtu amefeli, hana...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimelipia ada ya kuomba vyuo vya kati kutoka NACTE lakini maajabu ni kua sioni option ya chuo kinachotoa IT. Tafadhali mwenye access ya vyuo anisaidie niende moja kwa moja naona pesa yangu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau kuna interview ya shirika moja la wakimbizi nimeapata nafasi ya kufanya nao interview. Ninachoomba hapa ni kufahamu kuhusu shirika hilo kama utakuwa na uzoefu nalo ama pia namna ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, mwenye tetesi yoyote kuhusu hili, maana naona muda unaisha kwa wale wasiopenda kuomba mkopo kabla ya kujua matokeo yao kwa waliofanya mtihani mwaka huu.
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Naomben msaada wenu kwa wale mliosikia kuhusu wanachuo wanaoitwa special diploma in education mwaka 2018 eti ni kweli na wao wanafanya mtihani wa form six mwakani sijaelewa naombeni wataalam wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninafikiria kununu kitabu hiki ila bei yake ni kubwa sana kuliko vitabu vya aina hiyo ambavyo huwa ninanunua. Bei yake inafikia karibu $200 wakati nimeshanunua na kusoma vitabu kama vya Mandela...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, Naomba msaada kidogo wanajukwaa. Nilikuwa na tatizo kwenye cheti cha kuzaliwa na nimefanikiwa kupata deed poll tayari. Je, natakiwa niipeleke RITA kuhakikiwa au naituma heslb moja kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nimemaliza chuo kikuu cha ushirika moshi diploma ya uhasibu na nimepata overall GPA ya 4.1 na nataka kuapply mzumbe, UDSM na UDOM. Je, naweza kupata kimoja wapo hapo Nina division 4 ya 27...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba msaada nhitaji kufanya application kwa kozi ya business administration lakini kuna vyuo hivi viwili CBE na TIA pote kozi inapatikana nilikuwa naomba msaada kwa mtu mweny...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
The principal of Mwanza Institute of Hotel and Tourism Management, is announcing for new Intake begin on 09/01/2023 The college offering the following certificate level courses:- 1.HOTEL...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?)...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za majukumu wapambanaji, naombeni ushauri kutoka kwenu. Hivi kati ya Masters of Business Administration na Masters of Economics (University of Dar es salaam), which one is more valuable in...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu naombeni msaada kuhusu hizi course na utofauti wake, clinical officer, assistant doctor na clinical medicine?
0 Reactions
8 Replies
15K Views
Kati ya hizi mbili ipi inachukua muda mfupi kujua kuliko nyingine?
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Back
Top Bottom