Linapokuja suala la self education, yaani elimu binafsi ambayo huhitaji kufanya mitihani darasani au kuhudhuria darasani basi ni vyema ukathamini unachosoma kwa kununua vitabu na sio pdf.
Hizi...
Mitaala ya shule za wazungu tangu shule za awali hadi vyuoni Kuna somo linalowafundisha wanafunzi namna ya kufikiria ( critical thinking and problems solving).
Mfano, wazungu wanakwambia there...
Habari GTs wote! Awali ya yote nipende kushare na nyie utata ambao nimeshindwa kufikia mwafaka mimi binafsi. Hii ni kutoka normal life we encounter every day.
Tukio lenyewe lilikuwa hivi, jana...
Nimepata Taarifa za kuhuzunisha kuwa mtihani wa kidato cha sita kuvuja
na kwamba maneno ya Ndlichako na Dr.Charles msonde kuibua maswali mengi
Mara ya kwanza sauti ya ndalichako Akiwa mezani...
Habarini wakuu,
Zaman nakumbuka ukihitimu degree basi inakubidi uwe na GPA ya 3.5 ili uwe na sifa ya kuweza kufundisha chuo, lakini sikuhizi naona wanaweka GPA ya 3.8 kwa degree,swali langu ni je...
Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi.
Nikapata kiapo cha mahakama...
Habari wana JF
Mwezi ujao namaliza Diploma ya Procurement pale t.i.a sasa nilikua nataka nibadilishe kozi, ipi ni kozi nzuri kati ya project planning management vs community development...
Mtaalamu wa elimu ya awali na elimu ya watoto wadogo (early childhood education). Level yake ya elimu ni shahada kutoka chuo kikuu kinachotambulika na serikali hapa Tanzania, pia ana uwezo mkubwa...
Mpaka sasa maombi ya vyuo yaliyofunguliwa ni kwa vyo vya afya. Je, vyuo vingine apart from Afya maombi yanafunguliwa lini? Mwenye taarifa anijuze.
NACTE tunaomba majibu!
Habari wakuu poleni na majukumu nina ndugu yangu wa kike kamaliza four six sasa anawaza aendele na elimuya juu sasa utata unakuja hajui akosome nini na vyuo gani vinawez kuwa vizuri na kozi gani...
Wanafunzi wakutwa na majibu ndani ya chumba cha mtihani
Na Abdalla Nsabi, Maswa
SAKATA la kuvuja kwa mitihani ya kidato cha pili inayoendelea kote nchini imeingaia hatua mpya baada ya baadhi...
Ufanuzi wa computing field zote hapa kwa form six lever wote kama information technology,computer science,computer engenering,software engeneering na related course kwa ngaz ya bachelor degree...
Naitwa RUKIKO LAWRENCE tangu Jumatano nimetuma cheti changu cha kuzaliwa kihakikiwe kwa njia ya mtandao lakini mpaka sasa hakijarudi wala hakuna taarifa yoyote.
Wakati ukimaliza kufanya...
Habari,
Naomba msaada kidogo wanajukwaa,
Nilikuwa na tatizo kwenye cheti cha kuzaliwa na nimefanikiwa kupata deed poll tayari. Je, natakiwa niipeleke Rita kuhakikiwa? au naituma heslb moja kwa...
Nina dogo hapa amemaliza 4m4 mwaka Jana na kupata division 4 ya point 26
Matokeo yake ni kama ifwatavyo
History C
Kiswahili C
ENGLISH C
CIVICS D
BIOS D
GEO D
MATH F
Je naweza mpeleka chuo gani...
Mfumo wetu wa elimu umekuwa sio rafiki kwa muda mrefu haubadiliki miaka nenda rudi.
Kuna mabadiko ya kitekinolojia katika mifumo ya baadhi ya vitu kwa mfano magari ya zamani na ya sasa, Simu za...
Mimi pia ni mnufaika wa mkopo wa Elimu ya juu unaotolewa na serikali.Nimeona kumekuwa na minong'ono mingi na kuna kipande cha video kikitembea kikionesha baadhi ya wanafunzi wakiandamana kuhusu...
JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU,
NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW...
Hi for every one and I wish God is able for every one my name is mr Derrick Deo have a problem concern about education issue come there to search a sponsor you help me to pair tuition fee for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.