Hellow JF. Natumai tu wazima wote.
Naombeni msaada was mawazo kwa shule nzuri ya primary na nursery School. Maeneo ya Mbezi Beach, Mikocheni au Goba.
Nitashukuru kwa msaada.
Jamani niko nahakiki cheti RITA, kilichonikwamisha ni uandikaji wa namba za simu kama taarifa za awali.
Wanataka namba ya simu iwekwe kwa format ganii?
Maana nimeanza na +255 xxx xxx xxx...
Mbona wengine wanasoma kwa furaha zote kwanini hii hali inikute mimi tu nina nini? Nilianza masomo ya kidato cha tano na cha sita kwa usajili wa private candidate nikaacha nikaona nisije...
Kama wewe ulishapitia misukosuko na ikapelekea kukata tamaa lakini ulipambana na ukafanikisha malengo yako, naomba uniPM ili tubadilishane mawazo.
Karibuni
Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili.
Kwa matokeo haya;
PHYSICS -D
CHEMISTRY -C
BIOLOGY -B
MATHS -D
ENGLISH -C
(i) Je, niombe chuo gani cha...
kwa wanaohitaji kujiunga na vyuo..kwa waliosoma Science inabidi kuwa makini Sana'a...baada ya TCU kushusha..vigezo vya GP na point...wengi watakimbiliaa kuomba u doctor na pharmacy matokeo yakee...
Wadau naomba ushauri juu ya soko (kwa upande wa ajira) mimi nasoma Bachelor of Computer Engineering, MUST, siko interested sana na coding.
Nafkiria kuspecialize na Network & System Administration...
Kwa wale mnaohusika na kuwaombea mkopo wanafunzi napenda kuuliza kwa mtu alie maliza chuo mwaka 2018 na hajafanikiwa kuchukua cheti kutokana na hali ngumu ya kimaisha anaruhusiwa kuomba mkopo kwa...
Habari zenu wadau,
Naomba kufahamu kutoka kwa wale waliowahi kusoma masters UDSM, SUA, MU, UDOM, EASTC na kwingineko hapa Bongo.
Mfano, kozi ya masters ikiwa ni miaka miwili, na prospectus...
Leo tuzungumze kidogo juu ya maombi. Je huwa unaomba? maombi yako yanajibiwa? Kama hayajibiwi umeacha kuomba? Kama unaendelea kuomba umetafuta kwanza kujua sababu za kutojibiwa maombi yako au...
Hello jf.
nina imani humu kuna wadau wanasoma au waliwahi kusoma clearing and forwading.
naomba msaada wa notes nina shida nazo hasa za First year.
Natanguliza shukran
Wakuu,
Naomba msaada kwa mtu anayejua kwa hapa Tanzania ni Chuo kipi kinaendesha kozi tajwa hapo juu, yaani "conflict Resolution /Management " anijuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu,wasalaam nawasilimu wote kwa pamoja,walimu,wajuzi na wanafunzi wenzangu,
Jamani mimi nilisoma secondary na kuitimu 2010,niliferi kuingia kidato cha tano kwa kupata division four na...
HEALTH INFORMATION SCIENCE (HIS)
STARTED 2017 UNDER NACTE -MINISTRY OF HEALTH
HEALTH INFORMATION SCIENCE
Health information science is a hybrid curriculum that encompasses multidiscipline...
Muhitimu wa Diploma in Records Management Chuo cha Utumishi wa Umma ana GPA nzuri na anataka kujua kozi bora atakazoweza kufit kulingana na Diploma yake kwenye ngazi ya Bachelor Ukitoa kozi za VETA
Jamani naomba kufahamishwa kwa undani kuhusu hiyo fakati:
1. Ajira zake zinapatikana? (ikiwezekana na mifano)
2. Inahusika na nini? Unaajiriwa kwenye Sekta gani? Ni hayo tu
3. Vyuo gani bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.