Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za wakati huu wanajamvi natumai mungu ni mkuu na mweza wa yote nimekuja mbele yenu nikiwa na hoja ifuatayo kwanza kwa majina naitwa Derick Deo nimemaliza masomo ya kidato cha sita ila kwa...
1 Reactions
0 Replies
774 Views
Tuna wahitimu kila mwaka kutoka kwenye vyuo vikuu i.e. UDSM, SUA, UDOM, DIT, AIT, Hata kwenye project zao hakuna wanachovumbua hata concept tu Duuh!! Au wanaenda kukariri na kujibu mitihani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani, Mimi ni Mwl wa Level ya Degree, nina diploma ya Elimu pia kwani nilijiendeleza baada ya kumaliza diploma ya Ualimu, Kwa sasa nina Digrii ya Ualimu katika Elimu ya Awali, Kwa kweli huku...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Basi la Taqwa lililopata ajali maeneo ya Lusaunga Biharamulo na kusababisha watu 18 kupoteza maisha, lilikuwa na jumla ya wanafunzi 10 wanaosoma Masters ya modeling udsm idara ya hesabu, kati yao...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wataalam tafadhari, saidieni hapo mdogo wangu amehitimu Diploma ya Medical Laboratory kule Ruaha, sasa je nimpeleke Degree au !!/maana yeye anasema haina utofauti sana labda asome degree ya kitu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Shirika lisilo la kiselikali la Tanzania Deaf Skills Foundation TDSF, Kwa kushirikiana na Chuo cha ufundi stadi cha Moravian Kyela, wanatarajia kutoa mafunzo ya ufundi kwa viziwi kwa kutumia lugha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ipo hivi tangu nipo nasoma shule Sekondary hadi namaliza chuo hadi ivi sasa nipo mtaani ninapotaka kusoma kwa ajili ya maandalizi either ya interview au issue nyingine yenye kuleta...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari ya muda huu, Kuna hii Course ya Laboratory Science and Technology inayotolewa na vyuo vya ualimu kama Monduli teachers college, Kleruu pamoja na Tabora teachers college. Je...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu? Kati ya kozi ya Bachelor degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and maintanance Engineering Hizo kozi naombeni ushauri zinatolewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
baada ya kukosa chuo round ya kwanza hadi ya tatu hatimaye nmepata katika round ya nne kwa kozi ya Bachelor of education in early childhood lakini siamini kama inafursa ya ajira kama ilivyo kwenye...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari Wanabodi, Naomba ushauri, kuna mdogo wangu yeye ni Mwalimu wa Sekondari alimaliza Chuo Kikuu SAUT mwaka 2014 na kuajiriwa Serikalini mwaka uliofuata 2015, alichukua Education Masomo ni...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naweza kusoma course ya Clinical kama nina hiz credit C-BIOLOGY C-CHEMISTRY D-MATH C-ENGLISH D-PHYSIC Naomba ushauri wenu kabla ya Deadline
1 Reactions
9 Replies
1K Views
1. Masters of Education Management and Administration (MEMA) 2. Masters of Arts in Education. Naomba anayezifahamu vizuri hizi kozi anisadie. Ipi ni kozi bora zaidi kati ya hizi. Sent using...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Najua huu ni muda wa neema kwetu mi niko na ki-internet cafe changu, muda huu napiga pesa kwa kuwatumia madogo vyet vya kuzaliwa na kifo RITA kwa wanaojiandaa na masomo ya elimu ya juu pamoja na...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za leo wakuu, Ni imani yangu kuwa mko wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku, niende kwenye mada nina kijana wangu wangu amemaliza HGE kidato cha sita na alikuwa anatamani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Natafuta syllabus ya kifaransa kwa kidato cha kwanza na cha nne Mwenye nyaraka hii naomba anisaidie
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Some Qualifications have no use anymore, they do not impact the society in any positive way. The Outbreak of the Coronavirus is a reminder that there are some university qualifications that are...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa naomba mnijuze kuhusu Join Instruction za Kozi za Afya kwa Vyuo vya Serikari, je vipi zimetoka au bado kwa anayejua naomba anijuze maan na dogo langu amechaguliwa Chuo cha Afya Kibaha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Kwa wale walio soma UDSM, karibu na Utawala kuna mti mkubwa ambapo watu husoma. Mara kwa mara watu hujaa pale na ni nadra kupata nafasi, sasa mtwa nauliza ni kwanini mti ule...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Napenda kutanguliza salamu kwa wanajukwaa, Kuna ndugu yangu amemaliza mwaka huu kidato cha sita ni msichana alisoma HGK, amenifata na kuomba ushauri ni kozi gani ambayo atleast itamfaa hapo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom