Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hamjambo wanabodi, Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kutakuwa na maadamano ya amani dhidi ya bodi ya mkopo nchini (HESLB), maandamano haya yataanza siku ya jumatatu tarehe 27/07/2020 na...
9 Reactions
114 Replies
11K Views
Wadau nimeona hii degree ya secretarial studies and public administration inatolewa na chuo cha utumishi wa uma Dar(TPSC), naomba mwenye uzoefu wa hii taaluma anipe majukumu ya kila siku ya mtu...
1 Reactions
30 Replies
12K Views
Habarini za wakati huu wananzingo Nimekuja kwenu kwa lengo la kutaka kupata uzoefu na kuongeza ujuzi zaidi katika kozi nikiyoitaja. Ombi langu kwenu ni kama yupo mtu anaeweza kunisaidia katika...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari naomba msaada wa hili. Mimi nilichaguliwa chuo mwaka jana lakini sikufanikiwa kujiunga kwa mwaka wa masomo 2019/20 kutokana na matatizo na Mkopo nilifanikiwa kupata nikaenda chuo...
0 Reactions
3 Replies
863 Views
....ndizo zilizofanya vibaya sana kwenye mitihani ya kitaifa; je zina matatizo gani ambayo yanahitaji kushughulikiwa mara moja? Mheshimiwa Mkono alijitolea sana kujenga shule hizo wakati akiwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nawasalimu nyote ndugu zangu, Mimi ni kijana umri miaka kati ya 28. Ni kijana niliyetaman sana elimu kwa bahati mbaya sana cjafanikiw kutimiza malengo/ndoto zangu kielimu. Ndugu zangu...
1 Reactions
4 Replies
956 Views
Wasalam wajumbe, Ningependa kujua ni jinsi gani mfumo wa kuSign fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu unafanya kazi. Iko hivi: A/C number yangu ya bank imekosewa na HESLB. Kila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, naomba msaada kupata shule ya wasichana ya Bweni ya bei kawaida Advance, itakua nzuri ikipatikana kanda ya ziwa au sehemu nyingine Tanzania. Iko hivi, mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi nina diploma ya Civil Engineering sasa katika kuchagua vyuo hili chaguo niliweka la mwisho kabisa maana nilikuwa na idea nayo kidogo ila sikuwa interested nayo sana, sasa yamenikuta...
1 Reactions
40 Replies
12K Views
Jaman naomba kufahamishwa kwa undani kuhusu hiyo fakati, 1.ajira zake zinapatikana?(ikiwezekana na mifano) 2.inahusika na nini?(unaajiriwa kwenye secta gani? Ni hayo tu wadau.
0 Reactions
41 Replies
14K Views
Wakuu habari zenu,naombeni msaada kati ya course mbili hapo juu ipi unafikiri ni nzuri na ungependa kumshauri mtu asome..naomba mtu anayezijua vizuri hizo course anichambulie katika maeneo...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Communalism is root of economic DV argue the statement!!
0 Reactions
5 Replies
876 Views
habari za muda wana jf, naomba kwa wataalamu au wanaofahamu au ambao wameshafanyaga application kwa mfano NTA LEVEL 4 nlipata GPA 3.0 LEVEL 5 GPA 3.0 na LEVEL 6 GPA 3.6 je udaili wa kusoma...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Naomba kufahamu iwapo kuna mtu alikuwa anasoma chuo kipo A lakini kutokana na changamoto hakuweza kumalizia kutokana na majukumu. Siwezi kuwa naendelea na Masomo katika chuo hicho nataka nikahamie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda huu Wana JF. Nilikuwa naulizia utaratibu kwa mtu anayefahamu kuhusu kumuhamisha mtoto wa secondary form one kutoka shule moja kwenda nyingine na ni mkoa tofauti. Namuhamisha kutoka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau Salamu! Kwa wale msiojua kumeibuka tabia ya ushoga hapa Makongo Sekondari (hasa wanafunzi tunaoishi bwenini/hostel). Patron ndio kinara wa kamchezo haka maana ana mtu wake humu bwenini...
8 Reactions
148 Replies
36K Views
Ningependa kuanza na pongezi; mana si kazi nyepesi, kuna wengi waliojaribu kufika mlipo ila imeshindikana. Basi; hapa sina mengi tuu bali mambo makuu 3 ya kuzingatia wakati muwapo chuoni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Habari wanajamvi, Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa? Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kujua wakubwa, kama baba yako mlemavu kwenye muongozo wa HESLB wameandika wanaoruhusiwa kuthibitisha ni Mganga Mkuu wa Mkoa na Wilaya au chombo kingine chochote kilichohidhinishwa...
0 Reactions
5 Replies
720 Views
Wakuu katika kusoma kwangu guidebook ya TCU nimeiona kozi tajwa hapo juu katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Mwenye taarifa zaid juu ya hii kozi anisaidie labda kuhusu ajira zake au...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom