Habari zenu wakuu naomba kufaham vzur kuhus hii kozi mtu akisoma baada ya kumaliza utakuwa Mwalimu? Au .
Mwenye kufahamu naomba kuelewa hili, hii kozi ipo Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia...
Habari wana jamii
Shule za private hasa za msingi sijui kama zinatizamwa kwa ukaribu na wizara ya Elimu. Mama ndalichako tafadhali unda kikosi kazi zichunguzwe hizi shule. Kuna mikataba ya ajabu...
Kwa wanasaikolojia na wengine wote ambao mnapenda kudadisi mambo. Kwa kawaida ili mtu aweze kufikiria, lazima tumie lugha, na lazima iwe ni lugha anayoijua, kwa sababu kwa maana nyingine...
Habari zenu waungwana
Naomba kuuliza huu utaratibu wa kila mwanafunzi kutoa elfu kumi (10000/-) kila mwezi upo Serikalini au Mipango ya Walimu tu maana hapa Mafia shule zote hasa Secondary...
You are a product manager of a confectionery company that includes small plastic toys with its chocolate sweets. Having met a potential Ugandan manufacturer of these toys at a trade fair in Dar es...
Habari ya uzima wana bodi
Nimeandika ujumbe huu kufikisha kilio cha wanafunzi wa vyuo vikuu wanufaika wa mikopo kutoka bodi ya mikopo.
Sisi Kama wanafunzi wanufaika wa mikopo tumesikitishwa Sana...
Nina mdogo wangu naona ananichanganya, yeye kasoma Diploma ya Telecom DIT lakini kwa sasa hataki kufanya shahada ya hiyo Telecom anasema anataka akasome shahada ya Industrial Engineering...
As the title mentioned above, I am grateful inviting you to share your experience, techniques, and common questions mostly asked on how to defend a dissertation.
Habari zenu wana JF mimi matokeo yangu ya Form Four nina:
Phy - D
Chem - B
Bios - C
Math - D
Engl - C
Je, ninaweza kupata katika vyuo hivi kutikana na ushindani uliopo?
KCMC - Optimetric
Mbeya...
Habari za asubuh wakuu.
Nimeamua kuunda group la whatsap kwa ajili ya kuwasaidia wale wote wanaotarajia kujiunga na vyuo mbali mbali mara hii kwa diploma na degree na pia wanaotaka kuomba mkopo...
Habari wana JF?
Kwa vijana wanaotaka kusoma kozi za uhandisi na hawajui wapi pa kuanzia tafadhali usisite kuuliza swali hapa ili uweze kujuishwa unachotaka kujua!!
Nitatoa maelezo kuhusu kozi...
Umemaliza kidato cha 4 na kuchaguliwa chuo kwa kupata Division 3; sasa kozi walikupeleka ni Record and Archives Management; ni bora kwenda private wakuu au bora ukisoma hiyo kozi.
Msaada wakuu
Heshima Mbele wadau
Kuna bwana mdogo kachemsha pepa najaribu kuona namna ya kumsaidia.
Naomba kuulizia kituo cha maandalizi/tuition center kizuri kwa maandalizi kilichopo maeneo ya Goba au Mbezi...
ORODHA YA MAJINA WANAOTAKIWA KUSAHIHISHA MAOMBI YA MIKOPO 2019/2020
HESLB imetoa orodha ya waombaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ambao fomu zao zina upungufu ili wafanye marekebisho kwa...
Wakuu habari ya usiku huu.
Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni kati ya wanafunzi walio hitimu kidato cha sita 2008 shule ya sekondary Makongo.
Nimekua nikiyatafuta matokeo hayabkwa muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.