Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kujua mshara wa mtu alie soma hyo course wana lipaje
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Naomba kujuzwa kuhusu hii kozi ya Diploma in Meteorology au Bachelor in Meteorology, kuhusu upatikanaji wa ajira na soko lake kwa ujumla. Pia ningependa kujua na ngazi za mishahara kwa wahitimu...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
Mimi kama mwenyekiti wa huu mdahalo, Naomba kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wadau wote wa JamiiForums ili tujadiliane kwa hoja juu ya hii tenzi tata isemayo, "elimu ni bora kuliko pesa" Ni...
0 Reactions
23 Replies
12K Views
Jamani ndugu zangu habari zenu.... Samahanini sana naombeni msaada wenu sana nipo serious natafuta Chuo cha Afya kizuri Kwa maana wanafundisha vizuri. Nahitaji kusoma Clinical Medicine. Mwaka...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mdau wa JF hebu to maoni yako kwa ufaulu huu akasomee kozi gani nzuri chuo? History=C Biology=C Chemistry=C English=C Civics=C Kiswahili=C Geography=D Math=F Division I I I. 22. Form Four...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimetengeneza profile ya maombi ya NACTE, pia gharama zote nimelipa za maombi. Sasa nahitaji kuomba kozi za ualimu diploma lakini sioni option ya elimu kwenye akaunti yangu. Napata option moja tu...
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Wadau, Nilikuwa naomba ushauri wenu hii kozi imekaaje kwenye soko la ajira na pia uyu mtu anaye soma hii kozi akimaliza anaweza ajiliwa wapi, na pia nimeona sehemu moja tu inapotolewa hii kozi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu naombeni utaratibu wa kufunga na kufunguliwa kwa vyuo mbalimbali vile vya kati na hivi vikuu kwa semester hii baada ya janga la COVID 19 kuharibu utaratibu
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Habari za wakati huu wanajamii Wenzangu. Mimi kama mmoja ya wadau wa elimu na masuala ya kijamii nina maono flani nataka kuyafikisha kwenu kwa ushauri na upembuzi zaidi. Kwa nini serikali ama...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
SONGWE: RC AWACHAPA VIBOKO WANAFUNZI 5 KWA TUHUMA ZA KUCHOMA BWENI MKUU wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amewachapa viboko wanafunzi 5 waliohusika katika tukio la kuchoma moto...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Hivi NACTE na TCU wanatofautiana vipi katika shughuli za kiutendaji 1. Kudahili wanafunzi 2. Uhifadhi wa data
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakubwa, Hivi inawezekana mtu asome Diploma Mbili? Ipo hivi kuna mdogo wangu alisomo Dodoma course fulani ya forensic science sasa inaonekana hyo course haina dili hapa mjini!. Sasa...
1 Reactions
7 Replies
999 Views
Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujenga na kusajiri chuo vigezo vinavyohitajika na Mamlaka zinazohusika kusajiri
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wana JF, Ninasoma bachelor degree ya education (Physics na Chemistry) but baada ya kugraduate nataka nikasome masters of business administration. Nina maswali kadha nitashukuru...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Kerosine have a range of 150-300deg centigrade of BP Assume its BP is 147deg C on average Hexane have 69deg C BP Now i want to mix the two so i end up witn a composite of 110deg C BP What ratios...
1 Reactions
0 Replies
511 Views
Kuna dogo anataka kuomba Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo ngazi ya cheti Ninaomba mnielekeze taratibu za maombi ili nimuelekeze Asanteni wakuu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada wa kujuzwa utaratibu wa kufwatwa nataka kurudia mtihani wa kidato Cha sita tahasusi ya PCM.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wakuu hapa sasa kichwa kinaniuma kisawasawa cause wizara wamenizngua ! Je ni ipi kati ya hizo faculty yenye ugumu wa kusoma na na kuhusu suala la kujiajiri na...
0 Reactions
26 Replies
15K Views
Habari ndugu zangu. Mimi naomba mnijuze kati ya clinical medicine na medical laboratory ipi ni bora na yenye ajira kwa haraka. Na mishahara yake ipoje? Na je kama mtu akisoma certificate miaka...
1 Reactions
46 Replies
24K Views
Leo nashanga mwanangu anatoka shule ananiletea barua eti inatutaarifu wazazi kuwa kutokana na likizo ya corona, watakuwa wana masomo ya Jumamosi kuanzia saa mbili mpaka saa sita, hivyo tutalipia...
2 Reactions
7 Replies
876 Views
Back
Top Bottom