Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji...
Wadau nilipata bahati kutembelea maonyesho ya vyuo vikuu pale Diamond Jubilee leo, duuh nimekuta vyuo vya China kama 25 hivi kila chuo kikiwa na banda lake kwa ajili ya Maonyesho binafsi...
Yani jamani nina uwezo darasani lakini nakutwa na hali ya kukata kata tamaa tu hii hali inanifanya nikiingia kwenye mitihani nakuwa napanic mf kuna mtihani nilikuwa na uwezo wa kupata 15 ya 15...
Wakuu na wahusika wa Elimu, Mwanangu amehitimu kidato cha Nne na kupata matokeo yasiyo ridhisha kwa hesabu amepata (F) ndoto zake ni kuwa Daktari combination zimekubali, CBG lakini ajabu uteuzi...
Nimegundua haya,
Kwanini Hapa Tanzania kila graduates wa taaluma hizi atakuja na proposal ya information management system yoyote ile hata kama zipo tayari.
Kibaya zaidi system hizi hazina...
Habari.
Naomba Msaada na ufafanuzi Wa Kuchukua Diploma Kati ya hizi Kozi tajwa apo juu.Kwa miaka tunayoendana nayo uko mbeleni ìpi ina wigo mpana katika soko na Ipi itakuwa na manufaa zaidi...
Habari za wakati huu ndugu Wanajamvi, Kama kichwa Cha habari kinavo jieleza hapo juu mimi ni muhitimu wa Kidato cha Sita mwaka jana wa 2019/2020 mchepuo wa CBG matokeo yalikuwa kama hivi BAM=B...
Samahani wakuu,
Naomba kuuliza hivi: Kwa mfano ulienda chuo tu bila kupitia Kidato cha 5 na 6; unaweza kupata mkopo?
Na mkopo hutolewa kwa ngazi ya degree tu au?
Natanguliza shukrani
Anayejua Shule za private zisizo na majina makubwa zilizopo DSM na pembezoni mwa mkoa wa Dar es Salaam.
1) Upande wa kusini; maeneo ya kutoka Mbagala rangitatu mpaka mkuranga.
2) Upande wa...
Habari wanajamvi,
Naomba msaada wenu. Mimi mhitimu wa kidato cha sita 2020 HGL ningependa kusoma course ya biashara chuo.
Naombeni msaada wenu tafadhali
NB: Mathematics nina D O-level
Q 1. Despite of reforms in the curriculum the progress made in the promotion of practical education in primary and secondary schools is very slow and insignificant. Using pertinent examples...
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Bachelor Degree in Human Resource Management.
Natafuta field mahali ambapo patanijenga japo nipate uzoefu wa kazi.
Naishi Dar es Salaam.
Msaada wakuu.
Wadau naomba ushauri hapa.
Mimi nilisoma na kufanikiwa kumaliza BCOM. Nimemaliza na degree ya India lakini Cha kudhangaza kazi sipati, na nikionganishwa naishia kupata vibarua tu Ila siajiliwi...
Habari wanajamii ,namaswali naomba tusaidiane kuhusu koz ya business administration kwa bachelor d
*kozi ipi Bora ya B.A ya -BA in general , - B.A in logistics and procurement, -B.A in...
Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !!
Msaada please kwa...
Habari zenu Wadau wa JamiiForums,
Kuna rafiki yangu anaitaji kujua kuhusu chuo kipi kizuri anachoweza kusoma Course ya Information Technology (IT)
Yeye amemaliza Form Four (IV) mwaka jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.