Wakuu! Yaweza kuwa umebahatika kuwa na riwaya iliyokatika mfumo wa soft copy na imeandikwa kwa kiswahili.
Kama jibu ni ndio tafadhari sana share na wengine tuifaidi.
Habari wakuu
TAMISEMI walivyotoa majina ya kujiunga na kidato cha tano na chuo, mwanangu amechaguliwa kwenda Chuo cha Maendeleo ya Jamii Iringa. Nilitaka kufahamu utaratibu wa kujiunga anatakiwa...
Nimejaribu kuingia website ya NACTE kwenye upande wa Student Information Verification System. Mara ya kwanza registration status ilisoma Postponed saiv imesoma Terminated, nijuzeni tofauti ya haya...
Wana bodi heshima mbele!
Natafuta Mtanzania aliye soma hiyo kozi (BSc in Clinical Medicine)na anafanya kazi.Ikumbukwe kuwa kozi hiyo haitolewi na chuo chochote hapa Tanzania Ingawaje mwaka...
Ndugu zanguni, kwa wale tuliofanya supplimentary. Naomba kujua kama matokeo tayari yashatoka. Mwenye habari basi atujuze tuweze kuangalia, kwenye Aris yangu inaonyesha bado.Labda kuna mtu anaweza...
Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na kupata DvsnIII 25
CIVICS - 'C'
HISTORY - 'C'
GEOGRAPHY - 'C' KISWAHILI- 'C'
ENGLISH - 'D'
BIOLOGY - 'D'
B/MATH - 'F' tukasubiria labda anaweza kupata...
Habari,
Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye experience au hata ambaye hana experience lakini maybe alisikia sehemu kuhusu field mkoa wa Dar es Salaam.
Mambo ninayohitaji kujua:
1: Ofisi zote ambazo...
Chuo cha ualimu elimu maalumu PATANDI nichuo pekee Tanzania kinachohusika na utoaji wa elimu kwa watoto wenye ulemavu..Chuo hiki kinatoa fani kuu tatu ambazo ni:-
1-uziwi(hearing impaired)...
Hatimaye walimu wa hisabati na sayansi wamepangiwa vituo vya kazi, ambapo walimu wapya 3,081 wakiwamo 1,544 wa wangazi ya shahada na walimu 1,537 wa stashahada.
Walimu hao wanatakiwa kuripoti...
Ni siku ya tatu leo nimewanunulia ipad kwa ajili ya michezo na masomo imepasuka kioo.
Idadi ya vitu walivyoharibu ndani ya nyumba havihesabiki kuanzia kioo cha televisheni n.k.
Enyi wana jamvi...
Kwa anaejua shule nzuri za advance (private) kwa mkoa wa Mwanza naomba anisaidie majina ya shule husika, ada, pamoja na mahali zinapopatikana (mitaa).
NB: Mwanafunzi anayetafutiwa shule ni jinsia...
Civics=C History=C. Biology=C Chemistry=C English=C. Kiswahili=C. Geography=D. Math=F. Div(III) point 22. 2019. Ushauri wenu muhimu wadau katika kufanya maamuzi
Jinsia ya kike
Amemliza 2019 matokeo yapo kama hivi
civics C
Bios C
Chemi D
English C
Geo C
Hist D
Kiswah C
Math F
Phy D
Amechaguliwa INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - DODOMABTCRDP -...
Habari za muda huu,
Kwa sasa nipo darasani nafundisha shule za awali, hapa darasani kuna wanafunzi kama wawili, yaani nimetumia mbinu zote za ualimu ili hawa watoto waweze kukumbuka masomo...
WanaJF habari zenu,naombeni kufahamu kuhusu shule ya minaki mwanangu kachaguliwa nataka kumpeleka.Je mazingira yapo vizuri kuruhusu mwanafunzi kusoma vema? Na walimu wapo?
Kama wewe ni mwanafunzi unaesoma kada ya afya,iwe udakitari,maabara,famasia na kadhalika download hii app itakusaidia kujua Mambo mbalimbali, app ina mbs 80 inapatikana Google play store,
Tangu awamu ya tano iingie madarakani kuna mabadiliko mengi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu. Binafsi kama mtanzania mzalendo nahuzunishwa na tabia za baadhi ya taasisi za elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.