Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mdogo angu amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019 ila amepangiwa katika chuo cha Ushirika cha Moshi ila katika cumpus ya Kizumbi iliyopo Shinyanga. Swali langu ni kwamba! Kuna uwezekano wa yeye...
0 Reactions
6 Replies
989 Views
Je, ni kozi hipi ya afya yenye soko at moment itakayo nifaa kwa ufahuru wangu huu; Bio-. C Chem- D Geography- C Physics -D English- C Kisw - B History - C Math-. F Civic- C Literally-C Division...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
23 III CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F
2 Reactions
76 Replies
19K Views
Nasoma lakini katika kusoma kwangu nimezoea kujibu jibu maswali hadi inafika muda mwalimu ananiambia nipumzike lakini sio kusema kwamba wengine hawajui sijui kwao ni hofu kujibu au hawajisikii...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanaJamiiForums, Mimi naomba kuuliza ni short coz gani nzuri za computer ambazo naweza kusoma kwa muda mfupi na zinazoweza leta faida kwangu Ushauri Tafadhari.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF, Tarehe 29 shule zote zinaenda kufinguliwa, ila Changamoto kwa upande wangu ni haya masaa mawili yaliyoongezwa, Kwa mwalimu anaekaa Mbagala af kazi anafanyia Makumbusho cna uhakika kama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari, Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa, naomba kusaidiwa. 1. Chuo cha Mafunzo ya Utalii yanakupa ujuzi gani-expertise? Na baada ya kumaliza kazi za mhitimu (in case ameajiriwa) ni zipi? Day to day activities. Mafunzo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tafadhali naomba kufahamishwa kozi hii hapa inahusiana na nini? Hospital operations ndiyo nini? Unafanya kazi wapi? Ajira zake zikoje Tanzania? Unakuwa na utaalamu gani? Taarifa ya Kuchaguliwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni chuo gani kizuri zaidi kati kcmc na muhas kipo nondo zaidi kwenye kufundisha course ya Medical Doctor (MD).
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Wizara imetoa muongozo kwa ajili ya kuwaongoza wamiliki wa shule zote, yaani za serikali na zisizokuwa za serikali utakaoanza kutumika katika mwaka 2018/2019. Katika taarifa iliyotolewa na Kaimu...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Kati ya vyuo 100 bora vya Africa.,chuo kikuu cha Dar. Es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora wa elimu. Na kwa Afrika Mashariki kimekuwa cha kwanza. Kikifuatiwa na Makerere. Hongera maprofesa wa...
6 Reactions
136 Replies
19K Views
Padri akemea ngono UDSM : 0 Padri Josephat Mosha wa Kanisa Katoliki Parokia ya Chang’ombe mkoani Dar es Salaam, amewataka wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kutambua...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Natamani kufahamu, kuna mdogo wangu alimaliza Form 4. Alipata division 2 ya point 19. Nilitaka asome PCM au PCB lakini selection zimekuja wamemchagua EGM. Na shule anayoenda hakuna hizo tahsusi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Division 1.17 Civ C, Kisw B, Hist B, English B, Bios B, Physics C, Chem C, Geog C, Literature C, Math F. Mnashauri aende comb. gani, Serikali imempanga HKL?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habarini wadau, Nina dogo langu alimaliza form 4 mwaka jana na kupata division 1 ya 14, amechagulia chuo cha Kibaha kwa kozi ya Clinical Medicine na Tamisemi. Swali langu ni kuwa je, kwa hiki...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamii forum, I hope all is well with you. Nimechaguliwa shule ya Loleza iliyopo Mbeya kwenye tahasusi/combination ya PCB (yaani Physics, Chemistry and Biology) lakini kwa bahati...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naandika kwa niaba ya wazazi 115 wa watoto wa Pre-form V mwaka 2020 ambapo watoto wanatakiwa kujiunga na form five 24/7/2020 baada ya kumaliza Pre V. Watoto wetu walijiunga na Pre V mnamo tarehe...
1 Reactions
82 Replies
8K Views
Yani jamani nimeingia kwenye pepa leo; kama mnavyojua test zinakuwaga na saa moja tu kuandika tofauti na final exams. Mimi napendaga kazi iwe nzuri hivyo nina mtindo nikiona nimekatakata naomba...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Message: This is special for mathematics and things related to mathematics. If you have any quiz in mathematics, just bring it i will help if not me some also can help. And if you are a teacher...
3 Reactions
96 Replies
7K Views
Back
Top Bottom