Jmn me naomba kuvijua vyuo vya serikali vinavyotoa kozi ya medical laboratory na ada zake pia na vigezo vyakusoma kozi hiyo na kwamtu anaeanzia diploma atasoma kozi hyo kwa mudagani
Habari wakuu,
Natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kujenga taifa.
Bila kupotozea muda.
Chuo cha DMI kinatoa Masters kwenye course mbili kwa sasa. Ambazo ni Shipping Economics & Logistics...
Mtoto wa dada yangu amepata ufaulu hafifu yaan four ya 28, lakn katika uchunguzi kidogo niliofanya nikagundua kwamba ana vigezo vya kusoma mojawapo kati ya fani zifuatazo:
1: Bank & finance
2...
Hawa jamaa wa umbwe sec kwa wale tuliokuwepo kule miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni Jesca akiwa mdogooo, mnakumbuka
_ umbwe walikuwa vibonde wetu mpirani wa miguu
_kikapu
_tulikuwaga pia na...
Amani iwe nanyi ndugu zangu.
Leo nimeona niwaelezee japo kwa ufupi mateso nliyokumbana nayo ktk shule ya wavulana Lyamungo iliyopo wilaya ya hai mkoa wa Kilimanjaro.
Enzi za utawala:-
-Gervas...
Habari wakuu ,
hivi mwaka huu kuna yeyote anaye fahamu kwamba kwanini MUHAS upande wa diploma hawajafungua dirisha la kutuma maombi directly kwenye website ya chuo , na kwenye guide book ya...
Nilichaguliwa UDOM na baadae nikapata 20% ya mkopo ila cjafanikiwa kwenda chuoni baada ya kupata matatizo ya kifamili japo hata % ya mkopo haijatosha .
sijabahatika kusajiliwa chuoni baada ya...
Habari za wasaa huu!
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam ninayechukua shahada ya sayansi ya jumla katika masomo ya fizikia na na kemia (BSc. General)...
Habari za sasa,kwa wakubwa shikamoni,lengo LA kufungua Uzi huku ni kuelewesha wale wote wenye uhitaji wa kuapply kozi za afya(ukiachana na doctor of medicine na bachelor of pharmacy).
Kozi...
Nimesoma kwenye TCU guid book kuwa kwa nurse anaweza ingia hata na E ya advance mathematic msaada hii advance mathematic ndio BAM au ndio pure??
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums...
Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kila mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni.
Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505,000 hadi 520,000 lakini kwa mfumo...
Nina kijana wangu anasoma chuo kimoja hapa dar kozi ya CLINICAL OFFICER kutokana na upuuzi unaoendea kwenye icho chuo nafikiria kumuhamisha je ni taratibu gani za kufuata ili kufanikisha uhamisho...
heshima kwenu wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume ambaye mwaka wa masomo uliopita alipata nafasi ya kusoma kozi ya "DIPLOMA IN ACCOUNTANCY-DA" katika TAASISI YA UHASIBU TANZANIA-(TIA) DAR ES...
Have you ever asked yourself who the most educated person in the world is?,do you know what kind of knowledge comes with studying for many years and constantly discovering new information and...
Wakuu naomba wataalamu mnaoelewa hiyo kozi inahusiana na mambo gani na ajira zake znakuwa vipi nimepangwa hiyo kozi UDOM ila kuna mikanganyiko ya mawazo ya wadau hadi nimeamua kuuliza leo eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.