Habari ya asubuhi wadau.
Kuna dogo mmoja kahitimu kidato cha nne 2019. Alifaulu ana Div 3.24. kanitumia ujumbe mfupi akisema kwamba baba ake katumiwa umeseji kwamba mtoto wake kachaguliwa chuo...
Some Calculus solutions presented here (please see the PDF attachment below) are alternative corrected solutions from the Math24 website. The original solutions from the website appear as were...
Nimekua nikifanya kazi katika cafe flani mjini nimekua nashangazwa sana na hi bodi ya commission of university ya nyumbani apa ambayo wengi pia hawaelewi ni nini iki kinafanyika na hio bodi cha
1-...
Nna mdogo wangu kamalza f4 last year.
Alipata alama c masomo yote 9 ...eti kati ya kwenda advance na kwenda chuo bora aende wap... mnisaidie mawazo
Maana selfom Tamisemi wameshafungua dilisha la...
Msaada kwa mwenye soft copy Topic ya plate tectonics theory Geography A level nimfuate pm nitampa email a nitumie asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Natanguliza shukurani;
Mimi n mhitimu wa diploma in secondary Education 2018 katika masomo ya chemistry na biology; ad sasa sija ajiriwa ila nimepanga mwaka huu nikasome degree ila nahitaji msaada...
/Hello JF,
Nimeupitia huu uzi Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?
Tatizo la ajira limekua changamoto kwa wengi, courses hazijawa kuwa za faida kwa wasomi wengi....na...
Serikali ya awamu ya tano imekuja na sera ya elimu bure, lakini Hali imekuwa tofauti kabisa.
Katika tarafa ya lupembe Kijiji cha Wanginyi wananchi wanachangia fedha ya kuwalipa walimu wa...
Habari Wana bodi leo nimesikitishwa Sana na vitendo vinavyoendelea vya hovyo hapa chuoni na vinafanywa na walimu wa sheria bila Dean of Faculty kukemea Wala kuzuia.
Watu tumepewa likizo na chuo...
Habari wakuu!,
Katika msimu huu wa Corona watoto wamekaa tu majumbani material yanazidi kupotea kichwani.
Naomba mwenye video za watoto kujifunzia ashee hapa ili tupakue na kuziweka kwenye flash...
Heri ya mwaka mpya wanajamvi. Natumai mapambano yanaendelea kama kawaida.
Nina ndugu yangu alimaliza kidato cha nne mwaka 2010 ila kwa bahati mbaya mambo yalienda kombo, alipata Div IV ya 29...
Amani iwe kwenu wakuu.,
Binafsi ningependekeza elimu ya ufundi iangaliwe kwa namna ya kipekee,
Isiwe private option ila iwe kwenye mtiririko wa uchaguzi wa kusomea,
Kisha ningejenga vyuo vingi...
Kuna vifupi wadau wanavitumia humu ndani kama..MMU, JP/JM mi wananiacha kila wanapotumia hivyo sababu saa nyingne ujumbe wote upo ndani ya hivyo vifupi! nielewesheni wana-jamii forums
Kuna mdogo wangu kamaliza Degree ya maabara mwaka jana, anatafuta course ya Masters nzuri nje ya nchi. Je, asome course gani ambayo ni marketable now?
Unaweza kupata scholarship?
Ushauri wenu...
Nimeenda leo ofisi za necta kusajili vyeti.
Nimepokewa reception na nikaeaomba nahitaji kumuona mhusika anaeshughulikia masuala ya usajili vyeti.
Majibu ya reception nimeambiwa mhusika hayupo...
Habari,
Kwa wenye ufahamu juu ya kozi ya Bachelor Degree in Economics of Development . Naomben msaada kuhusiana na mambo ya fuatayo:-
i) umuhimu wake kwa nyakati hizi ii) ubora na udhaifu wake...
Ndugu wana jamvi mimi ni muitim wa olevel mwaka huu, nlikuw nataka nipige cbg ili badae nije nisome coz ya laboratory technician, sasa kuna mtu ameniambia kuwa kwa sasa mwanafunzi aluesima cbg...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.