Nimekuja Hapa mnipe mawazo Juu ya hili Kuna ndugu yangu,
Yupo mkoa mmoja mwanae alimaliza la7 akabahatika kachaguliwa shule moja hizi zetu namanisha za kayumba mzazi kuona hivyo kajichanga mwanae...
Habari wana Jf naomba kuuliza hivi kuna App ambayo naweza download nikaona mitihani iliyopita ya veta yaani mitihani ya CBA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naomba kuuliza, kuna tetesi nimesikia kuwa huwezi kusoma Degree mpaka uwe na credit 3 za O-Level hata kama ulipitia Diploma bila kupita Form six. I mean kama umepita shortcut itakulazima...
Wakuu mambo vipi!
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nahitaji kufahamu namna GPA zinavyo kokotolewa kuanzia ile ya kila mwanafunzi, kisha somo na hatimaye GPA ya shule husika.
Natumaini...
Habarini,
Kutokana na tishio la ugonjwa wa Covid-19 utokanao na virusi vipya vya corona, upo uwezekano wa mashule kuja kulazimika kufungwa katikati ya muhula, japo ugonjwa huo haujafika Tanzania...
Cognitive skills na mbinu/uwezo wa kutazama jambo/kupokea taarifa, kuitafakari, kufanya maamuzi kuhifadhi kwenye kumbukumbu na kuielewa. Ni kitu ambacho mtoto anapaswa kujifunza tangu akiwa na...
Wana jf vp,tumalize utata bingwa wa uhasibu kati ya TIA,CBE na IAA(Arusha) nani Amekwiva na soko linamwitad tuondoe uwezo wa mtu binafsi tuhusishe hadhi na ubora wa chuo??
Habari zenu watu wangu wa maana wote.
Kuna kozi watu wengi sana wameomba kiasi kwamba watu wengine kukosa ingawa sifa wanazo.
Hata hivyo kuna baadhi ya kozi bado zinawatu wachache.
Tupia humu...
UDSM hizi kozi mbili zote zipo, sijafuatilia kwa UDOM na vyuo vingine. Hali ikoje wadau? Maana stori za mitaani zinasema kuwa waalimu wengi hawajali wanafunzi, hawana muda na wanafunzi ila mambo...
Naitwa mwl Salum Kamolekla nafumdisha shule ya msingi wilayani maswa mkoani Simiyu .Natafutawl wa kubadikoshana nae kitup cha kazi kitoka mikoa ifuatayo.
MOROGORO
PWANI
ARUSHA
MOSHI
kwa aliye...
Kwanza kabisa napenda nianze na salamu, habari zenu wakuu.
Kutokana na kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Basi wakuu naomba tujuzane kuhusu GPA zinazohitajika kujiunga na chuo cha UDSM...
Kuna vitu mbalimbali vinavyoweza kukufanya ukate tamaa mi binafsi maisha magumu ya mkoa nilokwepo nina kipato kidogo lakini bado nina uhitaji wa kusoma wengine hukata tamaa kutokana na ugumu wa...
Habari wanajf mtoto wa sister inabidi tumrudishe shule ya Government baada ya mambo kutokwenda vizuri Ada nk
Naomba msaada hatua gani za kufuata ili kuweza kumhamisha shule? lakini ni shule gani...
Mimi nashangaaga hii dhana aliianzishaga nani, yani yanageuka hadi kuwa malumbano sasa 😂 😂 😂 Sijui wanafunzi wa X wameiva na mwengine anatetea kwamba wanafunzi wa chuo Y wameiva, na ni mara nyingi...
Wakuu nimemaliza chuo sasa ninaplan nikasomee Uoperator wa makatapila na mitambo mingine mikubwa. Kwa bongo chuo gani kinatoa hii Elimu?
Na tarajib zikoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF naomba kusaidiwa kuhusu ili je ni chou gani ambacho kipo dar es salaam ambacho kina kozi za ujenzi wa barabara
Nahitaji kupata elimu zaidi kwani kwa sasa nafanya kazi ya kuchukua...
Habari zenu wana jamii forums natumaini wote muwazima.
Nataka kuhama kutoka T.I.A singida kuja kusoma Dar es salaam, je ni chuo gani kizuri Kwa course ya accountancy level ya diploma.
Naombeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.