Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarini Wana jamvi humu ndani. Naomba kuuliza kwa wenye ufuhamu na uelewa zaidi wa hii gani ya Biomedical eng (vifaa tiba) hususani katika swala la àjira zake kwa sasa na badae,je serikali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kulikuwa na wimbi kubwa sana la vitabu na na notes mbalimbali vilivyokuwa vimechapishwa na na kutungwa na Nyambari Nyangwine, ilikuwa si rahisi kwa mwanafunzi unayejua kujitafutia material/notes...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Petroleum petroleum namba wanaisoma, Watu wana masters zao namba wanaisoma watu wana PHD zao namba wanaisoma namba shufwa wanazisoma namba witiri namba tasa, Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Program Benefits All FLTA fellows receive a monthly stipend, health insurance and travel support. U.S. host institutions provide tuition awards to support the required coursework. The FLTA...
1 Reactions
1 Replies
808 Views
Hello wadau, kuwa mwanachama wa CPA inabidi ufikishe masaa 30 katika semina kila mwaka, haya masaa wanayaita CPD hours, Sasa shughuli inapokuja ni kwenye gharama kubwa ili kuyapata haya masaa 30...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani format mpya ya mitihani ya kidato cha sita ndo inakuajeaje jaman msaada pls. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
2K Views
habari zenu ndugu zangu wana jamvi naomba niulize maswali mawili na yeyote mwenye uelewa juu ya maswali hayo bas naomba anijuze 1. chuo cha NIT pale mabibo ni maarufu kwa course za...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Habari Week hii niko off kidogo home kwa wanaopenda kusoma vitabu hususani vya Financial development, Personal development na investment naomba aliye na kitabu hardcopy kashakisoma aniazime...
1 Reactions
4 Replies
970 Views
Natafuta kitabu kizuri kwa sasa cha physics kwa O-level kwa syllabus yetu hapa nchini. msaada plz kwa wale mliopo kwenye secta hiyo.
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Habarini nduguu zangu. Naombaa kuuliza eti unaweza kuapply chuo kikuu kwa mtu aliyetoka Form 4 na anapenda kusoma Diploma kwa course tofauti kama ya afya? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tenga muda na usome vitabu hivi.
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF (wasomi) nimeweka Uzi huu kwa nia ya kujifunza na kuelekezwa kuhusu ili. Je kwa mtu aliye soma diploma ya business administration anaweza kuendelea mpaka digrii au haiwezekani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini za muda wakuu! Tafadhali aliyesoma kozi ya Labour Relations & Public Relations kuanzia ngazi ya cheti. Naomba anijulishe alisomea chuo gani, ukiachilia mbali ISW {Chuo cha Ustawi wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Critical thinking Vs just I'm good at Mathematics.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Naomba nisiwe na maneno mengi sana, mimi ni mwanafunzi hapa Chuo Kikuu Mzumbe mwaka wa pili. Hapa chuoni kuna usumbufu na kero kubwa zinazo endelea dhidi ya wanafunzi, uongozi...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Ili kupunguza Gap la uchumi yaani economic gap ni muhimu serikali iachane na ajira za walimu kwani kwa miaka mfululizo tangu 2006 wamekuwa wakiajiriwa wote. Ni muda wa serikali kuendeleza upande...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kati ya Bachelor Degree in Dental surgery na Doctor of medicine ipi kwa nyakati hizi inalipa sana na haisumbui katika upatiakanaji wa ajira. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
4K Views
nachukua nafasi hii kuuliza kwa wanaojua ikiwa chuo cha udsm huwa kinadahili wanafunzi wapitiao foundation programme pale open iniversity, ( hawa ni wale wanafunzi waliokosa principle pass A...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kuna vitabu mbali mbali vya riwaya tulivyobaatika kuvisoma pindi tulipokuwa vidato fulani vya sekondari, kama ndivyo naomba tukumbushane baadhi ya matukio amabyo yalikukuna sana kiasi kwamba...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
Wadau naomba msaada wenu kwa hili. Ninataka kusoma pharmacetical science diploma na najiunga diploma kwa credit zangu za D = biology C = chemstry Na credit nyengine mbili zisizokua za science...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom