Habarini wana Jamiiforums,
Nina ndugu yangu kasomea diploma ya Uongozi wa Elimu lakini anataka akasome degree. Nauliza: Je, akasomee kozi gani yenye soko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu wangu, salute kwenu.
Sina mengi ila naomba mwenye vitabu vinavyohusu upelelezi au ushushushu anipatie soft copy. Nimeona ni muhimu kuwa na ABC kuhusiana na hii sekta maana dunia...
Habari wakubwa,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20. Nilibahatika kusoma na kupata Diploma ya (Ugavi na Uchukuzi) (Procurement & supply Menegement). Niliwahi kubahatika kuajiriwa katika micro...
Nakumbuka tangu nikiwa sekondari, A-levo mpaka chuoni huwa kuna pesa ya tahadhari (caution money) ambayo tuliaminishwa hutumika pale endapo mwanafunzi anaweza akawa amecause damage kwenye property...
Habari ya majukumu wadau. Kwa wale walimu wanaofundisha medium schools Nawaombeni kama kuna yeyote ana mid-term test au monthly test papers za class six social studies anisaidie. Natanguliza...
Naomba wajuzi mnijuze ni Human Resources (HR) Manager yupi ambaye atakuwa na weledi kati ya HR Manager aliyesoma degree yake Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) au Chuo cha Mzumbe (MU) kulingana...
Watoto wa mijini wanawahi kuelewa mambo mapema.
Wanajifunza mambo mengi nyumbani yale ambayo zamani tulijifunzia shule. Nyimbo, kuhesabu, abcd, na a e i o u.
Kama haitoshi wanafundishana wenyewe...
Habari zenu wadau?
Ninatafuta mtu anaekijua au anaesoma hapo IJA ninataka nimpeleke ndugu yangu kusoma hapo ila sijapata information za kutosha, naomba unichek hata PM.
Ahsante
Sent using Jamii...
Habari wakuu,
Naombeni msaada wa kufahamishwa sehemu ambapo wanaweza kuondoa lamination katika cheti, nimehangaika sana na nahitajika lazima niondoe lamination ili cheti kiweze kuhakikiwa...
Habari wakuu poleni na majukumu pia hongereni kwa mapunziko ya weekend.
Naomba kufahamu ili mtu asajiliwe kuwa private candidate wa form four au six anatakiwa afuate taratibu zipi na awe na...
Habari Nina pass katika Physics, Chemistry, Biology, English, Kiswahil, Geography na Civics kwa Level ya O-level nichuo gani kitanifaa kusomea Diploma ya Clinical Medicine.
Sent using Jamii...
Mpendwa mwanafunzi,
Natumaini kuwa u buheri wa afya, na ni imani yangu kuwa unaendelea vizuri na masomo yako. Kama unaokumbana na changamoto kitaaluma na kijamii pole sana, naomba Mungu...
Habari wana JF,
Nina diploma ya Elimu nahitaji kujiendeleza ila nina GPA ya 2.9, nini cha kufanya ndugu zangu ili nifanikiwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumaini mu wazima wa afya,
Naombeni ushauri mimi nina leseni daraja A, B, na D niliyo yapata kutokana na uzoefu wa hapa na pale wa kuendesha gari ila siku soma chuo chochote cha udereva (basic...
Habari wana jukwaa awali ya yote nitoe pongezi kwa wahitimu wote richa ya hali ya maisha kuwa ngumu ila bado tupo tunaish! MZEE AMEBANA KWELI
wakuu naomba kujua hatua za kuasajili open school...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.