Habari wana Jamii
Wanafunzi, Walimu, na wana Jamii tukutane hapa tujaribu kuona ukweli upo wapi juu ya utegemezi kati ya mwalimu na mwanafunzi na kwa kukumbushana mwalimu anampa mwanafunzi 25%...
Habari wanajukwaa
Nina soft copy ya vitabu kadhaa vya taaluma yangu naomba kuuliza sehemu ambayo naweza print baadhi ya hivyo vitabu niwe na hard copy na gharama yake pia kwa Dsm....Nawasilisha...
Kati ya degree tajwa hapo juu ni ipi ina faida kwa upande wa ajira na kujiajiri pia? Na je wanatofautianaje kimajukumu?
Na soko lake la ajira serikarini au private sector lipoje kwa kozi zote...
Habari wakuu! Nimeona baadhi ya vyuo wakitoa evening program kwa Diploma za Nurse course, hivi kuna chuo kinachotoa Clinical Medicine kwa Evening program pia?
Nataka kujua prosess ya kutuma fees chuo huko india njia zake unafanyaje na kupitia benk ipi pls. Mwenye kujua anaeleweshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni swali nimeulizwa leo na mgeni anaetafuta opportunity ya kufanya social enterprise related activities hapa nchini kwetu.
Kwanza haelewi ni kwa nini category ya social enterprise entities haipo...
Habari zenu wakuu,,,Nimeamua kuanzisha Thread hii mahususi kwa Wanafunzi tulio chuo cha SAUT Main campus Malimbe Mwanza,,Lengo ni kuelezea kujadili maendeleo ya chuo chetu,Kupeana mbinu za hapa na...
Habari,
Naulizia mtu anayejiandaa na mitihani ya CFA steji ya kwanza itakayofanyika mwezi wa sita, 2020.
Nimuulize mambo mawili matatu. Vizuri akiwa Dar.
Mitazamo ya wananchi kuhusu elimu bure imebadilika kwa kiasi kikubwa ndani ya miaka 12 iliyopita: mwaka 2005, zaidi ya nusu ya wananchi (56%) walisema kuwa ‘ni bora elimu itolewe bure kwa watoto...
Hajui na ameniuliza hata mimi sijui hii kozi kazi zake ni zipi na ataenda kufanya wapi. Sijui akimaliza kozi atakuwa nani (aina gani ya kazi au post). Je, serikalini ina soko hii kozi kwa diploma...
Kalamu ya Baba Askofu Bagonza (PhD) .
ELIMU YETU
Inafuta Ujinga, Haiongezi Maarifa
Duh!! Tanzania yetu inaumwa. Pole sana. Habari mbaya kila wakati. Taifa linaumwa sana.
Tuliona Samunge...
Hivi kuna uwezekano wa kupata mkopo kutoka serikalin wa kwenda kusomea degree ya MD ukiwa na diploma ya CO baada ya kuimaliza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari,
Jamani natafuta Shule ya bweni ya Watoto wadogo kuanzia miaka 3. Napendelea zaidi iwepo Dar au Pwani.
Ni muhimu Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninasikitika kuona Chama chetu kinashindwa kusimamia haki za upandishwaji madaraja kwa walimu kwa kufuata haki.
Waliopewa dhamana ya kusimamia upandisha madaraja sijui ni kwa maksudi au bahati...
Habari za wakati huu wakuu,
Mm nimesomea fani ya development finance and investment planning katika level ya degree. Naombeni ushauri hii fani inakua na soko sana katika maeneo gani...
Kwa utaratibu mpya wa NACTE kwamba ukimaliza kusoma form 4 unachukua cheti NTA level 4 au NTA level 5 na form six unaanza NTA level 6 au NTA level 7 au NTA level 8
Sasa kwa mwalimu mwenye cheti...
Kama heading inavyojieleza huu uzi ni mahususi kwa JF members wote waliosoma BWMHS
Nawakalibisha wote tuliomaliza shuleni hapo tuje humu tubadilishane mawazo..
Karibuni sana
EDUCATION IS LIVING
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.