Sorry waungwana Niko nasoma chuo taasisi ya uhasibu DSM campus , lakini pamoja na hivo nimebahatika kupata kazi sehem so kulingana na hali halisi ya kimaisha nataka nisiache chuo nataka nisome...
Hivi umeshawahi kujiuliza kama inawezekana kusomea Udaktari kuanzia primary School hadi chuo kikuu?
Kitu hiki kinawezekana kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kuwakaribisha wote wenye mpango wa kufanya mitihani ya bodi ya ugavi mwaka huu lengo likiwa ni:
- Kupeana uzoefu
- Kufahamiana
- Kujadiliana
- Kupeana mbinu
- Kupeana connection
Na yale...
Wadau nimeikuta sehemu.
Sisi huku kwa mkoloni ndiyo kumekucha. Wahusika fikisheni ujumbe kwa Alumni wenu.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Professor Lughano Kusiluka amewaomba Alumni kuja na...
Wakuu habari za muda huu.
Leo ningependa tushirikishane kwa wale wenye uzoefu wa kusoma abroad. Hivi ili upate Visa ya kwenda kupiga kitabu Marekani unapaswa ufanyeje?
Maana nataka nikapige...
Mimi King Ngwaba Nimehitimu masomo ya Kidato cha 4 (From IV) mwaka 2019 hapa JANGALO SECONDARY SCHOOL na kuambulia bonge la Mzunguko yani Sifuri.
Matokeo yangu ni ↓↓
CIV - 'F'
HIST - 'F'
GEO -...
Wadau ushauri wenu muhimu sana
Jana NACTE wametoa matokeo ya walio pangiwa vyuo lakini nimekosa kupangiwa [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Sasa naomba ushauri ndugu zangu nataka nikasome...
Jaman wana JamiiForums naombeni msaada wa kupata qualification za chuo cha diplomasia kilichopo Kurasini, Dar es Salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo likizo tunafungua chuo mwezi wa tatu. Nilianza chuo kwa shamra sana na nguvu za kusoma lakini baadaye hali ilibadilika ghafla ya kukata tamaa na kuendelea kusoma lakini licha ya kuwa ivyo...
Wanajamvi, naomba kama kichwa kinavyojieleza hapo juu! Yeyote anayejua chuo hapa Tanzania wanachofundisha course ya Big Data analysis au Advanced Excel naomba unijuze tafadhali
Habarini ndugu zangu,
Nahitaji kufungua tuition centre yangu kubwa katika mkoa wangu, ili nisaidie jamii yangu.
Hebu nisaidieni mawazo, changamoto zake ni zipi? Na mahitaji ni Yepi?
Sababu ya kubwa ya kubadili ni kwa sababu nimejiajiri mwenyewe katika biashara mbalimbali.
Hivyo naona kuendesha bila ya kuwa na elimu ya biashara nahisi kama kuna vitu nakosea sababu nina update...
"And he [Hiram] made a molten sea, ten cubits from the one rim to the other it was round all about, and...a line of thirty cubits did compass it round about....And it was an hand breadth...
How To Be More Assertive
Andrew, Ida Jaribu article series no.4
3 min read
I learned to be assertive from my mother. She always expresses her feelings, is comfortable with saying no, acts in...
Mliosoma university of Iringa VP Kitabu pale kipoje? Mazingira kwa usomaji yapoje tujuzane.
Je, kuna vimbweta vya kutosha?
Vyumba vya kupanga ni shilingi ngapi hasa jirani na Chuo?
Tujuzeni jamani
Habar wanajf?
Naombeni msaada wa ushauri kuna mwanafunzi wa mwaka wa mwisho au tatu ( 3) muhula wa tano amesimamishwa masomo ambapo anatakiwa aingie muhula wa sita(6) kutokana na kosa la maadili...
Kalamu ya Baba Askofu Bagonza (PhD) .
ELIMU YETU
Inafuta Ujinga, Haiongezi Maarifa
Duh!! Tanzania yetu inaumwa. Pole sana. Habari mbaya kila wakati. Taifa linaumwa sana.
Tuliona Samunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.