Wadau nimeambiwa ni Chuo kizuri mwalimu akitoka pale anauzika sokoni ila sijapata maelezo kutoka kwa mtu mwingine ili nifanye maamuzi ya kumpeleka mwanangu pale akasomee ualimu wa chekechea.
Hello!
Tafadhali naomba naomba wale wote wenye maswali kuhusu research proposal, dissertations, data analysis, SPSS na mengine yoote yanayohusu academic research uliza hapa!
Pia maswali...
Habarini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenzenu mpenda maendeleo, napenda kujiajili.
Lakini Leo nimekuja hapa kuwauliza ni maana ya CAPITAL (MTAJI).
Naombeni majibu tafadhari kadri unavyo elewa.
Ada ipo roho tu inanisumbua ya kutokwenda shule na sielewi kwanini nina uwezo mzuri tu darasani na siwezi biashara tegemeo langu ni shule tu. hii roho nifanyeje isitawale akili yangu siitaki...
Naanza Mimi,
Zidisha mamba yoyote yenye tarakimu 3 mara 999 Kwa sekunde tano tu.
Mfano 526 x 999 jibu ni 525,474
Soln
526 toa 1 jibu ni 525 (tumeanza kupata jibu, iandike chini kushoto)
Toa 526...
Habari zenu wanajamvi naamini nyote ni wazima.
Nina Imani wewe unayesoma habari hii umeshapita darasani ama ni mwanafunzi kwa Sasa.
Lengo la kuandika habari hii sio kwamba ni kuwakatisha tamaa...
Habari zenu wana jamii. Natumai afya zenu ni salama.
Ninaomba msaada wenu wa mawazo na ushauri juu ya hili swala nililoliona kama ni changamoto iwakumbao makampuni mengi apa nchini kutokana na...
PHOTO ENTRY KWA SHILINGI 500/= TSHS KWA PICHA
Tunafanya photo entry kwa wote watakaohitaji huduma yetu, tutamaliza ndani ya dakika 10.
VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO NI
picha za wanafunzi wako...
Poleni na majukumu katika ujenzi wa taifa. Nina mdogo wangu wa kike kamaliza form four 2019 na matokeo yake yako kama ifuatavyo.
CIV-C ,HIST-C ,GEO- C ,BIBLE- C ,KISW-C, ENGL-C, PHY-D, CHEM-D...
Dogo ana ufaulu Chemistry-c Physics-D Biology-C hataki kusomea masuala ya sayansi anataka utangazaji je yuko sahihi kama tunavyojua soko sikuhizi linatoa nafasi kujiajiri na kuajiriwa kwa wasomi...
"An equation for me has no meaning, unless it expresses a thought of God."
--Srinivasa Ramanujan
Good day good citizens:)
Leo ni siku nzuri ya hesabu na leo nataka tuongelee infinite series yaani...
Mpaka kuipata hyo CPA sijajua kwanini ina gharama kiasi kikubwa hivyo, na hata hawaogopi kututangazia hizo gharama.
Watoto wa maskini wanaumia kutokufika malengo yao.
Sent using Jamii Forums...
Shem wenu kanitumia hili swali na mie ni mweupe kwenye viwanja hivi. Sasa JF haijawai kushindwa kitu. Mzigo ndio huu hapa sasa, kazi kwenu mimi nasubiri majibu tu.
You have just returned from the...
Habari Ndugu wana JF,
Naombeni msaada kidogo, kwa anayefahamu au anayesoma katika chuo cha dar es salaam Instute Technology (D. I. T) naomba anifahamishe utaratibu wa kujiunga na kozi ya...
Habarini wakuu..
Kwa anayejua utofauti angalau tano za Ms Publisher na Ms PowerPoint
Msaada jamani kwa sababu hyo Ms Publisher ina kazi nyingi sana hadi za Ms PowerPoint
Ntashukuru ukinisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.