Nina kijana wangu anataka kujiunga na kozi ya famasia ngazi ya cheti. Ana kemia - D, Bailojia - C na fizikia- F. Je anaweza kujiunga na kozi hiyo ngazi ya cheti? Kama likitupiwa karatasi toka...
Wakuu habari za saa, Naomba ushauri juu ya shughuli za kiuchumi ambazo hazitaathiri sana ratiba ya mwanachuo. (wa dar)
1. Ufugaji wa kuroiler (mkoani )
2. Kilimo cha mpunga (shadidi ), Morogoro...
Hello guys naomba msaada wa kimawazo katika course hizi mbili interms of area of specialization, job opportunities, vyuo vinavyotoa hizi course na ada (tuition fees).
Hivi kwanini kila nikiomba kazii, sipati kuitwa hata kwenye interview hali ya kwamba vigezo ninavyo? Nakwama wapi waungwana hivi ukitoa academic vitu gani vingine muhimu vya kuzingatia pengine...
The strategic formulation approach to entrepreneurial theory emphasizes the planning process in successful venture development.
In strategic formulation school of thought explain four types of...
Habari zenu wakuu, nina mdogo wangu amekaa nyumbani zaidi ya mwaka baada ya matokeo ya form four kuwa mabaya kwake, sasa naona nimpeleke hata Veta ili baadae nguvu zikija niisha niwe nimemuacha na...
Natumaini msomaji haujambo,naleta kwenu ombi la kuelimishwa/kufahamishwa.
Nna mdogo wangu wa kike aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana ambaye ana ulemavu wa macho(Blind). Matokeo yake hayampi...
Wakuu napenda kuwaletea majina ya Wanafunzi kumi bora kidato cha nne 2019 kitaifa.
1. Joan Ritte (St Francis Girls Mbeya)
2. Denis Kinyange (Nyengezi Seminary Mwanza)
3. Erick Mutasingwa...
Jambo wana JF, mimi ni mmoja ya wanafunzi ninayetarajia kujiunga na chuo mwaka huu hasa intake ya mwez wa 3.
Nimeleta hii mada ili na wenzangu wanaotarajia kujiunga na afya mwaka huu tuweze...
Naomba ushauri wa kipi nisome kati ya Nursing na Pharmacy. Kwa waliosoma hizo kozi naombeni ushauri na pia nitafurahi sana kama nitapata baadhi ya wana JF wanaotarajia kusoma kozi moja wapo kati...
JAMANI NAOMBA KWA YEYOTE YULE ATAKAYE OKOTA KUSIKIA AU KUWA NA CHETI CHA FORM 4 CHENYE JINA PETRO NATAL KIJUNGA NAOMBA TUJULISHANE KWA NAMBA 0629268795/0757658264
Hizi hadithi licha ya kuburudisha zilikuwa zimejaa Mafundisho makubwa ambayo yalikuwa yakitumika kumjenga mtoto na kumfanya akue katika misingi iliyo bora. Je, ni hadithi gani ilipata kukuvutia...
Habari ndugu zangu wa Jf,
Leo katika kuperuzi kwangu mitandaoni nikaona ngoja nipitie na Website ya NECTA ili na mimi niwe na taarifa za motomoto kutoka huko. Nilifanikiwa kuperuzi hapa na pale...
Habari JF,
Nina mwanangu amehitimu Form Four, na kufaulu masomo mawili tu yaani Kiswahili C na Biology D.
Naomba kuuliza kozi gani itamfaa VETA yeye ni wa kike. Msaada jamani, kama huna msaada...
http://selform.tamisemi.go.tz
https://selform.tamisemi.go.tz
Kwa mwenye kufahamu linki mbadala tafadhali tujuze. Link hizo hapo juu leo hii hazifanyi kazi.
Wakatabahu,
Mlenge
Good day good citizens...
Albert Einstein alisema na'quote
"Pure mathematics is, in its way, the poetry of logical ideas."
— Albert Einstein, German theoretical physicist
Leo tucheki hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.