Kwa mliopo idara ya elimu naomba kuuliza mtihani wa taifa wa darasa la saba kwa shule za international ni bure au unalipiwa!! Maana kuna shule ipo wilaya ya Chalinze maeneo ya Masuguru njia ya...
Eti samahani wadau, mtu akipata 4 ya 26 katika ya Civics - C, History - D, Kiswahili - C, Bios - D, English - C na Geography D, hapo anatakiwa aende chuo gani na kusomea nini?
Sent using Jamii...
Wakuu kuna mwanangu mmoja amepata gpa ya 2.9 ya clinical medicine amechanganyikiwa na ameshalia sana ushauri wenu jaman spate mwanga ajue cha kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wana jamii,
Nina rafiki yangu alikuwa anasoma Public Administration(Certificate) ameshindwa kufikisha course work kwenye masomo yote. Msaada wenu mtu kama huyu tunamsaidiaje?
Habari za muda huu wakuu,
Kama kichwa cha habar hapo juu ninaomba msaada wa kimawazo juu ya course gani asomee yenye market kubwa na chuo gani kitakuwa bora kutokana na ufaulu wake.
Matokeo ni...
Kama mnavyojua kusoma vitabu mbalimbali kunaongeza uwezo wa kufikiri na kuupa ubongo chakula.
Nimekuwa natamani sna kuwa msomaji wa vitabu mbalimbali ila tatizo naweza kuanza nikapiga pages 20...
Wasalaam wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni kwamba nilimaliza chuo kikuu 2014 ila sijapata kazi ya kueleweka hadi sasa hivi na nilipata mkopo kwa muda ule, nmefikiria kusoma chuo coz...
Dears;
Students taking a course in Soil Mechanics:
Here is a final version of your copy, two copies.
1 The printable version is most appropriate for reading in hard copies and the other, in soft...
Hivi ili suala la baadhi ya vyuo kutosajiliwa na bado vinadahili wanafunzi limekaaje?
Na je wanafunzi au mwanafunzi aliyesoma chuo kama hiki anasaidiwaje na serikali hali wakati anajiinga hakuna...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naomba msaada wa shule zilizo bora kidato cha 5 ambazo ada yake iwe kuanzia 1M na isizidi 3.8M kuna mdogo wangu wa kike ana division two point 20 sema atapata...
Habari wana JF,
Naomba mnisaidie katika chaguzi ya izi kozi mbili nahitaji nikasomee moja CBE ngazi ya cheti ipi bora na nzuri katika soko la ajira?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anayeijua vizuri kozi ya Auto Electric and Electronics Engineering katika soko la ajira iwe kujiajiri au kuajiriwa ni ile inayotolewa katika chuo cha ATC ukilinganishwa na Mechatronics, asante
Ni majonzi na masikitiko makubwa kwa wazazi/walezi wilayani Tunduru baada ya watoto wetu kufutiwa matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba kwa sababu ya kile kinachosemekana kubainika kwa udanganyifu...
Samahani wadau naomba kuuliza hivi ili ukitaka kupata ajira kama dereva wa tours ni lazima uwe umekidhi vigezo vipi? Na je ni vyuo gani vinafundisha course zao au ni hivi hivi vya driving kama...
Samahani wadau naomba kuuliza kusoma course ya driving daraja C kwenye chuo Arusha ni muda gani na inachukua kama shilling ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar za jioni wakuu.
Nina mdogo wangu amehitimu darasa la saba mwaka huu shule msingi iliyopo Wilaya ya Kahama na amefaulu.
Malengo yangu nataka kumuombea uhamisho ili aje asome Dar es salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.