Imezoeleka feza schools kuongoza matokeo ya kidato cha 2,4,na sita kitaifa.
Lakini kwa ngazi ya msingi hata haiongozagi wala kutoa wahitimu bora kitaifa,tatizo hasa ni nini?
Wanajamvi habarini za asubuhi,
Naomba niende kwenye maada moja moja kwa udahiri umefunguliwa kuanzia tarehe 15 /01/2020 kwa baadhi ya vyuo kwa ngazi ya cheti/Diploma kwa baadhi ya vyuo
Udahili...
Wadau salaam,
Ninahitaji takwimu za idadi ya shule za upili kwa manispaa ya Shinyanga, naweza kuzipata wapi? Pia idadi ya wanafunzi wa elimu ya upili kwa manispaa ya Shinyanga.
Natanguliza shukrani
Nini Cha Kufanya Mwanafunzi ?
1. Weka lengo maalumu la kusoma kila siku na litimize.
2.Uwe na ratiba yako binafsi ya kujisomea nyumbani na ifuate. Hakikisha ukiwa nyumbani...
Shule hii inaitwa The Austrian International School of Sex (AISOOS), ipo mjini Viena Austria, ilianzishwa mwaka 2011 na mwanamama Ylva Maria Thompson maalumu kwa kufundisha mapenzi kwa nadharia na...
Baraza la Vyuo Vikuu la Afrika Mashariki(IUCEA) linalojumuisha vyuo vya umma na binafsi takribani 100 kutoka Kenya , Tanzania, Uganda, Rwanda na Burundi lilifanya utafiti mwaka 2014 kwa waajiri...
Habali wakuu natumai ni wazima wa afya huu Uzi unawausu kwa wanaosomea na waliosomea mambo ya afya (certificate ,diploma ,bachelor , masters. N.k ) tupeane dondoo kidogo...
1. Ni kitu Gani...
Vyuo vingi ambavyo ni makao makuu vinakuwaga vigumu sana, kila sheria inafatwa kwa hali ya juu sana na ukiteleza kidogo tu umekwenda.
Hali ni tofauti kidogo huku kwenye matawi unakuta kwanza...
Ni kozi gani nzuri kati ya hizi
1:masters of education in administration planning and policy studies
2:masters of education in assessment and evaluation
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu wangu wazuri nawabusu.
Kuna mdogo wangu amemaliza Form Four Kisutu girls pale posta (Shule ya serikali) ana division two.
Sasa kuna Uncle alimuahidi kuwa akipata ufaulu mzuri atamsomesha...
Matokeo yangu ni:
Phy - C
Bio - B
Chem - B
Geo - C
Kisw - C
Math - A
Eng - C
Literature - D
Dini - C
Civ - C
Na nina ndotoza kusomea CO kupitia college, halafu after CO nisomee tena MD. Je...
Regulations mpya za CHUO KIKUU CHA DODOMA zinatisha kiasi kwamba zinaweza kusababisha vijana wengi kurudi nyumbani, hivi sasa mwanafunzi kama hajafikisha coursework ya 16 (college zingine) na 25...
Samahani wana JF nilikiwa nahitaji kuzifahamu Shule za Sekondari ambazo zipo karibu na barabara ya Morogoro road (Ubungo - Mbezi Luis) angalau sita kwa ajili ya project maalum ya kielimu.
Sent...
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Kutokana na ongezeko kubwa la walimu waliohitimu masomo yao kuwa kubwa mtaani Ikiwa wengi wao hawana ajira na kuendelea kuhangaika mtaani ambapo mwajiri mkuu...
Kijana mhitimu wa Shahada, stashahada au astashahada hajui Kiswahili fasaha, cha ajabu wengine chuo kikuu wamesoma Shahada ya Elimu na Lugha. Ukipitia kurasa zao Facebook au instagram utaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.