A.alykum. kwa heshima na taadhima naomba niwasilishe ombi langu kwenu. Mimi ni kijana niliemaliza mtihani was form 4 mwaka 2016 na kupata ufaulu was div 2 ya 18. baada ya hapo nilitokewa na...
Habari zenu members! Mie nimesomea Certificate ya Human Resource Management katika Chuo cha Mount Meru University kabla hakijafungiwa. Nahitaji kuendelea na Diploma. Kuna Chuo nimeapply kusoma...
Nimekuwa na mkwaruzano na mama wa mtoto wangu juu ya elimu ya msingi ya kijana wangu atakayehitimu chekechea November.
Mimi natamani asome St Kayumba ili ajifunze nilivyojifunza mimi ili hata...
Waungwana habari za jioni poleni na uchovu wa kazi.
Samahani hivi format ya mitihani ya Kidato cha Pili, Nne pamoja na QT tayari zimeshatoka? Na kama tayari ninaomba mwenye nazo anisaidie...
We have added 2019 results with analysis. Angalia ujue wanafunzi wangapi walipa A kwenye kiswahili mwaka 2019, au shule mbili zilifanyaje ukiliganisha
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2008...
Naomba kusaidiwa jinsi ya kupata GPA ya mwisho wa mwaka wa tatu Clinical Medicine. Wanaanza kuhesabia tangu mwaka wa ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi za asubuhi
Nimepitapita kwenye shule za sekondari za Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora na kushudia Wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa chini sakafuni hali inayotia simanzi...
Nimechaguliwa kusoma PCM Musoma technical secondary school na sijasoma tuition na tunaripoti kuanzia tarehe 08/07/2019
Nahitaji msaada juu ya vitabu vinavyohitajika pamoja na ushauri
Nimekuwa nawaza kuweka App ambayo itasaidia watumiaji wa mwendokasi kujua gari liko wapi, ila sijui hata kama wanao hizo data, na kama wanazo mtu napataje hizo data?
Mchango wowote unakaribishwa
Nina wadogo na ndugu zangu watano waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana ambao matokeo yao yametoka mapema mwaka huu.
Kati ya wadogo zangu watano watatu wamepata daraja la kwanza na...
Habari Ndugu Wana Jukwaa
Naomba msaada wa kujuzwa utaratibu wa mtumishi kuomba kwenda kusoma maana nimeambiwa inahitajika admission number ya chuo unachoenda kusoma ilihali udahili bado...
1.Kwa wale wa Certificate wanaoenda kuanza mwaka huu wanaanza application lini na zipo intake ngapi katika mwaka
2. Samahani naomba kwa yeyote anayefahamu course zozote ngazi ya cheti na vyuo...
Jaman Naomba kufahamu kozi zifuatazo:
Hivi nikisoma kozi hizi naweza fanya kazi gani
1:Human resources management
2Public sector financial management
3Public procurement and supplies management...
Wakuu habarini za jioni, naombeni mnisaidie desa za Principles of Education, History of Education, Comparative Education, Sociology of Education, Philosophy of Education.
Naombeni hasa zile...
Yaani ukiingia benki lazima utakutana na Mtanzania ambae hajui kujaza pay in slip au hata money transfer forms kv TT. Hii ni elimu ndogo kabisa ambayo wananchi wanafaa kujifunza Shule ya Msingi au...
Wakuu swalama kijana kafaulu ila tunapendekeza aende advance private safi inayotoa michepuko ya sayansi
NB: shule ikiwa wavulana tupu itapendeza zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.