Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ni kwa nini Tanzania tusingesoma kwa kiswahili kuanzia vidudu mpaka PHD? Nipo nameza vitini hapa hata kichwani haviingi. Hivi nchi zingine zilizoendelea kama Marekani, Uingereza, Ujerumani...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habarini wadau, nina mdogo wangu amepata div I ya 14 pass ni kama zifuatazo: Civ - B Kiswa - B Hist - C Geo - C Engl - B Engl in Literature - C Phy - C Chem - B Bios - A Math - B Dogo hataki...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamani mimi nimemaliza Form 4, nataka nichukue sheria ila nataka niende college. Mnanisaidiaje jinsi ya kujinga na vyuo: Daraja la ufaulu liwe vipi? Na wanasajili lini? NB: Hiyo ni kwa kila chuo...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Alserkal Residency in Dubai is inviting applications for its Summer Cycle Programme for research-based and socially-engaged practices in 2020. Alserkal Residency is a platform for artistic and...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Dah ni long sana enzi hizo kipanga nimemaliza Form 6 nikachaguliwa kwenda chuo kikuu cha Dodoma . Mtaani ilikuwa pongezi kila napopita kuwa sasa mtaa unaongeza Engineer mwingine..Full shangwe yani...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Sorry wanajukwaa naomba kufahamu eti ni vigezo gani hutumika kumpata Tanzania One kwa upande wa kitaaluma, iwe Form Four au Six. Msaada tafadhali, nataka nimalize ubishi kuna watu tulikuwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu, Nilikuwa naomba orodha ya shule zilizofanya mitihani ya kidato cha 4 mwaka 2019 kwenye mpangilio wa mikoa.
1 Reactions
1 Replies
980 Views
Baada ya kujichanga kwa muda mrefu sana mwezi wa 6 nategemea kuvunja kibubu kuchukua kagari ka kupiga nako misele town. Kwa hiyo wakuu naomba anayejua chuo kizuri cha udereva chenye ada nafuu na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Dogo kamaliza form 4 kanyoosha 1 ya point 7.. dogo hataki tena kuendelea kuitumikia necta namaanisha hataki kuenda form 5 kusoma kwa kutumia mitaala ya necta, nataka kwenda international school of...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau Nina Cc) Math na (D) ya Geography na (D) ya History. Nina division III-22 eti naweza kusomea combination ya EGM? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Nimemaliza certificate ya kilimo, nataka Diploma nisomee maji je inawezekana?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Matokeo ya form four yametoka utaratibu wa kupata statement of results ukoje
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Momba mimi niende Mkoa wa Lindi, Manispaaa, kwa taarifa njoo PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukiangalia matokeo ya darasa la saba 2019 kwa mfano shule za english medium ndizo zimeongoza kwa ufaulu kwenye somo la kiswahili kuliko shule zinazotumia lugha ya kiswahili kwenye masomo yote Hii...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Naombeni kujuzwa tuition inayo fanya solving za past paper kwa Dar es salaam,kwa ngazi ya a-level masomo chemistry na biology
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Majina ndo yametoka tujuzane tulio chaguliwa maisha ya kwendaje Majina. Yapo www.marine institute.co.tz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Matokeo ya Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne yametangazwa leo Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) Muda si mrefu yatapandishwa kwenye tovuti ya baraza hilo, hivyo tuendelee kuwa na...
14 Reactions
187 Replies
45K Views
Habar za humu ndan wakuu.Naomba msaada wa kujua chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma (Clinical officer) kinachopatikana Dar es Salaam au Dodoma. Nikipata mawasiliano yao itapendeza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa kama kichwa cha thread kinavyosema nilimaliza kidato cha nne 2014 matokeo hayakuwa mazuri kama nilivyotegemea. Yalikuwa hivi: Geography D, History D, Civics D, English E...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhali jamani naomba kama kuna mtu yoyote anasoma Diplomasia Kurasini au sehem yoyote ile nina shida naye PM please. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Back
Top Bottom