Wadau pamoja na UDSM kuwa na sifa kubwa kimataifa na kuwa chuo kikongwe TZ lakini mazingira ya kusomea yanasikitisha hususani sehemu kama vyoo (mfano vyoo wa SR, CoET, TATAKI, PESS office, Old...
Wajuzi kuna yeyote ambaye ni continue student aliappeal na akapata mkopo mpaka sasa, coz mm niliappeal lkn kwny account yangu nimeandikiwa not successful.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ratio za pesa huwa zinatolewaje ?
Wanatumia vigezo gani?
Mfano unaambiwa elfu kumi ya Kenya ni laki kwa tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni walimu wote wamesoma chuo kimoja na wale wa private lakini matokeo tofauti. Tatizo liko wapi? Nashangaa sana jambo hili watoto wanafeli hakuna mfano.
Mwalimu anafundisha Primary lakini...
Sijui ni Lini serikali itathamini na kujali michango ya walimu katika kuboresha elimu na kuleta maendeleo katika Taifa Letu.
Walimu wanatekeleza majukumu yao ktk mazingira magumu ikiwa ni pamoja...
Kwa yeyote anaefahamu gharama na process nzima ya kusomea udereva katka kile Shule ya Ufundi ya Police Kurasini anisaidie tafadhali kunifahamisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya mwaka mpya 2020 waungwana.
Mimi ni mwanachuo kikuu hapa Dar es Salaam. Ninasoma Shahada ya kwanza katika Uhasibu na Fedha (BAF).
Nipo hapa kuomba ushauri kuhusu mada tajwa hapo juu...
Hivi ni kweli kwamba kuna baadhi ya vyuo vya umma vinawalipisha ada ya field laki moja kutoka kwa wanafunzi kwenda chuoni. Na kuwatishia wasipotoa watawazuia kuwapa ruhusa kwenda field ai...
Naomba kueleweshwa juu ya upimaji wa vilele vya milima mirefu mpimaji hupima akiwa wapi (1) kileleni (2)chini yaani baharini kwa sababu Kila ukitajwa mlima unahusishwa na usawa wa bahari milima...
Natafuta hicho kitabu.
Hapa nilipo hakipatikani kwenye maduka ya vitabu.
Mwenye kujua kinapopatikana anisemeshe PM nimtumie pesa anunue na kunitumia.
Thanks.
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kushirikiana na kitengo cha uhandisi na teknolojia (CoET) pamoja na kile cha uhandisi wa kompyuta na mawasiliano (CoICT) wamezindua mpango maalumu wa miaka 7 wa...
Wanajamvi habrai za jioni, poleni na Januari kwa hekaheka.
Naomba msaada kwa anayefahamu mazingira ya Bagamoyo yalivyo.
Nafikiria kwenda kujiunga na chuo cha Adem Bagamoyo kozi ya D.S.I
Ila...
Kuna dhana kwamba sekta ya elimu ni sekta isiyo na pesa. Kuweka maisha yako kwenye elimu ni kutafuta umaskini, walimu na wadau wa elimu ni wanyonge na watu wanaodhaurika na wanapuuzwa sababu...
Kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kwenye serikali ya Rais Magufuli kumesababisha Watanzania kunufaika kwa njia mbalimbali ikiwamo kupata mafunzo ya kimkakati nje ya nchi.
Mwaka 2019, serikali ya...
Wadau poleni na majukumu,
1.ninaomba ushauri wenu juu ya kozi nzuri ya master's, Nina Bachelor Degree of Education major in History minor in kiswahili.
2.Kwa wanaofahamu je ninaweza kusoma...
Kwa yeyote mwenye join instruction ya mbalizi instute of health kilichopo mbeya
Anifahamishe kuhusu jumla ya michango na ada
Natanguliza shukrani kwenu
Wakuu ninaomba ufafanuzi kwa wazoefu, ikiwa mwanafunzi alichaguliwa vyuo viwili akaconfirm kimoja akaenda lakini mkopo ulivyokuja umeenda chuo kile kingine ambacho mwanafunzi hajaenda.
Je ni...
Wadau salaam
Heri ya Mwaka mpya?
Wadau natafuta mentor atakayeni mentor kwa ajili ya CPA yangu, mimi nimepata CPA karibuni hapa.
Nipeni uzoefu wenu najua humu mpo, au kama kuna mentor yupo humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.