Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana JF nauliza ninunue kitabu gani cha kozi yangu ya uuguzi na ukunga (Nursing and Midwifery) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Inatokeaje sehemu zilizo jirani kabisa zikawa na udongo tofauti. Unakuta kisehemu ni mchanga na kisehemu jirani ni mfinyanzi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niko Chuo cha Muyoge, nasoma kozi ya Clinical Medicine ninapitia wakati mgumu sana katika maisha yangu ambapo imenifanya niingie kwenye mgogoro wa nafsi maana mazingira ya chuo nilichopo na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za leo wakuu, hivi boom la Chuo Kikuu hutoka kila baada ya muda gani? Natanguliza shukrani
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Wakuu nakumbuka kitabu hicho kinaanza chapter 1 kwa baba yake RORIONKA kumwita. Rorionkaaaaaaa..........' Nataka kikiwa hivyo kabla hakijawa summarized. Je kuna mwenye nacho? Ni kitabu kikubwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama wewe ni Kijana mwenye umri kuanzia miaka 21 hii ndio post yako bora ya mwaka 2019 ,yakupasa uisome na kuitafakari vyema sana. Kwa mujibu wa mtandao wa www.biblemoneymatters.com umeonyesha...
22 Reactions
24 Replies
4K Views
Naandikaa huu uzi nikiwa na majonzi ya kurudi mkoani (Kigoma) kijijini kwetu bila cheti wala trascript. Nilikuja Dar ili nifanye clearance kisha nichukue cheti transcript pamoja na cheti. Cha...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Je ni kweli, lazima usote darasani miaka 2 - 5 kutafuta PhD, au inategemea na program ya yule anayekufunza? Natambua full time students uchukua maximum 2 years na part - timers ni 5 years max...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
EWE MWANACHUO, TAMBUA MAZITO HAYA 2019 INAPOKUAGA, NJOO KIVINGINE 2020. TAFAKURI KALI BALA JUMAPILI YA LEO. Unaposhangilia boom, usomi ama sherehe za graduu ndani ya joho hadi unajaa nyodo na...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita HKL. Je, ninatakiwa niwe na vigezo gani? ili nisome IT Chuo Kikuu? Au haiwezekani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Guys mambo zenu.... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu... kwa mwenye kujua shule nzuri iliyopo Tabata Ukiondoa Tusiime nitashukuru akinipa uzoefu wake hapa. Ikiwa na unafuu wa Ada...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Mwaraye! Mimi ni mtu wa Operation. Nahitaji kuongeza skill set yangu so naombeni mnisaidie kufanya maamuzi kati ya hizi short courses: 1. Computer Maintenance 2. Computer Application Nikachukue...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf, Napenda kuomba ushauri kwa yeyote aliye wahi soma au kuishi nchini Uganda kwani nahitaji kwenda kujiunga na chuo kikuu mwakani. Yaani namaanisha details namna ya kuapply chuo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Ningependa kufahamu chuo bora hapa Tanzania kwa kufunza ufundi wa magari kwa ngazi ya degree.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wadau! Nimepoteza cheti changu cha form four, form Six na cha chuo pamoja na transcript. Nimejaribu tafuta contact za Wizara ila naona namba hazipo active, najua hapa wote mpo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Naomba ushauri: Unaweza kusoma Law Enforcement kama una division 2.10? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tuwafundishe watoto wetu vitu vinavyowajengea uzalendo, kujiamini na upendo kwa wengine badala ya kuwafundisha watoto vitu vinavyowavunja nguvu na kuwanyong'onyeza wakiwa wangali watoto wadogo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naamini wote ni wazima wakuu, kwa wenye ufafanuzi mzuri kuhusu maana ya Opportunity Cost na pia inakuwaje karibuni wote wakuu.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habarini ndugu zangu, Yoyote ambaye ataweza kunisaidia Past Paper za mock Form 6 nazihitaji hata kwa kuzinunua. Ahsanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua Je, mtu anaesoma advance anatakiwa awe na vigezo gani asome IT chuo kikuu? Naombeni jibu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom