Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Anayejua msaada ninasoma PCM nataka niwe mkemia mkuu wa serikali
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu shkamoon Nina hizi marks Div II pts 20 B/Keeping - C Commerce - C Maths - D History - C Geography - C Civics - C Na nayapenda masomo yote but wap mnaona I can do wonders NB: Siipend...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau Samahani naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu na maswala ya transfer ya mkopo je huchukua muda gani mpaka kukamilika na mnufaika kupatiwa pesa alizopangiwa kwa mwaka husika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Binafsi nina uwezo wa kuandika makala, proposals, habari nk ingawa kitaaluma nina Degree ya Business Administration in Marketing Management. Lengo niwe na taasisi yenye kutoa msaada au...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana naomba mwenye kitabu cha ICS( information and computer studies) cha o'level form 1-4 anisaidie kwa kuniwekea hapa. Hata ukiweka cha darasa moja sio mbaya. Thanks in advance.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada wa kupata kitabu hiki: BASIC CONCEPTS AND PERSPECTIVES IN HISTORICAL SCHOLARSHIP. Mwandishi: MIHANJO P.A.N.E(2008), Dar es salaam-university press au hata mwandishi mwingne...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimejikuta nakumbuka 1. Cicadulina mbila - Mdudu anayesababisha ugonjwa wa unyaufu kwenye mahindi. Angalia kielelezo cha jani lililoliwa na mbila. 2. Black jack (shona nguo) - Majani adui wa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Nina ndoto za kusoma nchini Sweden kupitia taasisi inayotoa masomo ya ufadhili nchini humo. Kwa wale ambao mmewahi kusoma au bado mnaendelea kusoma mnaweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu. Naomba msaada wa kujuwa ni website gani nzuri kwa ku download movies kwa kupitia iPhone. Movie za aina zote isipokuwa series
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Naombeni msaada wenu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
16K Views
Wadau salaam, Siku mbili hizi sijapost chochote nilikuwa bize kidogo, mambo yalikuwa mengi. Wadau, najua humu kuna manguli wa computer; naombeni mnipe maujanja ya kujifunza Ms Excel. Niingie...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
When playwright compose their work of art focusing on the social struggle,they always build courageous characters to face danger for well-being of their society.justify this assertion with...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana Jf...... Mmi naomba kujuzwa tuu sifa ili mtu aweze kusoma it ambayee ameishiaa form four
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamvi, Jamani wale tuliomalimaliza Jangwani high school 2006 tupo wapi? Hamuonekani? Yaani niliokutana nao wachache sana. Jamani mpo? Kama wewe ulisoma miaka ya 2003 to 2006...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Unakumbuka nini baada ya Kupata daraja la kwanza Nakumbuka mwaka **** nikiwa kijijini nimemaliza Shule, matokeao bado yanaandikwa kwenye magazeti Jina langu linaanza na Herufi za Mwishoni ...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Sana wadau mie niko first year nachukua kozi ya Management of Socail Development , kama wana jamii nilikua naomba kuhusiana na changamoto na faida za kusoma kozi hiyo pia maeneo gani ambayo mtu...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Naomba msaada wa Vocational Skills new syllabus class VI au scheme of work class VI. Please mwenye nayo naomba msaada wa kuipata kupitia hapa mtandaoni au WhatsApp number 0752109702.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa new syllabus ya civic class VI au scheme of work class VI pliz mweny nayo naomb msaada wako kupitia hapa mtandaoni au wasap 0752109702 pia nitatoa sh 1000/= kwaajl ya mb's Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauliza naweza kusoma Bachelor of Science with Taxation nikiwa na 'F' ya Math? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wadau naombeni msaada nahitaji soma diploma in clinical medicine ila naona mfukoni sina chochote na nilifanya application nikachaguliwa gvt mda WA kwenda ilibidi niailishe coz ya capital,na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom