Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za asubuhi Wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2019 katika masomo ya Arts, Ivumwe High School mjini Mbeya. Shule ni ya umoja wa wazazi. (private...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Dah sikutegemea yaani kile ninachokiona hapa Iringa university mpaka natamani kulia. Kiukweli masomo magumu jamani bora advance yaani mfano philosophy unaisoma haieleweka dah advance ni bata...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Tulimaliza Chuo tangu Nov, 2017. Ilipofika June 2018 Vyeti vikagawiwa kwa Wahitimu wote, lakini katika Vyeti vile kulikuwa na makosa ya kukosewa majina baadhi ya Wahitimu, tukaambiwa na Mkuu wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Economics students let’s confuse them[emoji23][emoji23] Me : increasing marginal returns Drop your own[emoji116] Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Sasa kama MTU unasoma hadi chuo na kazi hupati, si bora uishie form 4, huo muda na pesa ulizopoteza kusoma chuo, bora ungeingia kusaka mapene mtaani, huenda mpaka sasa hivi ungekuwa mbali kidogo...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Yaani nikisikia sijui Profesa fulani, halafu nikafuatilia nikakuta ni wa eti Kiswahili, sijui Tashbiha, huwa nashindwa kumpa heshima sawa na Mwanasayansi. Mungu anibariki nipunguze kuwadharau...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Mwenye uzoefu naomba msaada wa taarifa kuhusu degree ya electrical engineering ya St Augustine University Mwanza .ikoje in terms of uwepo wa wakufunzi waliobobea na coverage ya material yani kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Eti jamani naweza kukaa Gongo la Mboto mwisho nikasoma UDSM? Kuna daladala za Gongo la Mboto zinafika UDSM au Ardhi? Nauli je?
2 Reactions
70 Replies
13K Views
Habar zenu ndugu zangu. Me naishi na binti yangu, amemaliza kidato cha NNE mwaka 2017. matokeo yake akawa na C1 na D2, ambay ni kiswahili C na eng/islamic, akawa na D mengine yote aliferi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Napenda kuulizia kama kuna mtu anayefahamu kuhusu huduma ya kifedha ya mikopo ya ada ya masomo (tuition fees) tajwa hapo juu kwa ajili ya wanachuo wa Shahada. Maana nina shida ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
London School of Hygiene wana Scholarships kwa watu wa Sub Sahara Africa kwa Masters in Public Health, Control in Infectious Diseases etc Sifa: • Uwe na first class or 2:1 in undergraduate. •...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar zenu Jamani naombeni ushaur, naishi ma mtot Wa dada angu. Amemaliza kidat chat nne mwaka 2017 na mwaka jana akaitaji kurudia, alopo rudia matokeo hayakua mazuri tena Ila hakukat Tamaa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
husika na kichwa cha habari hapo juu, nimemaliza kidato cha nne mwaka jana,namshukuru mungu matokeo yangu ni mazuri.Nina mpango wa kwenda chuo hapo mwakani,shida niliyo nayo ni kuwa mpaka sasa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Janauary inakaribia na watoto waanze shule wale wanaoanza Form 1 na wale wanaoanza Standard one. Ila kuna uharamia wa wazi wazi kabisa unafanyika na wakuu wako kimya kabisa. 1. Watoto kuambiwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
MKURUGENZI MTENDAJI WA HESLB, ABDUL-RAZAQ BADRU, PICHA MTANDAO Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema ina fedha za kutosha na hadi jana imeshapokea Sh. bilioni 186 kutoka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wanajanvi, Mwanangu amechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya secondary Morogoro. Natamani nimuhamishe kumpeleka shule ya secondary ya boarding ya serikali yenye ufaulu...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Husikeni na kichwa hapo juu. Naomba mwenye softcopy ya notes za Economics 1, Management Principles, Mathematics, Sociology na Theory of Development anisaidie (hata mojawapo ya notes...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Enyi watu wa kale mnaojiita wahenga,naomba mnifahamishe tofauti kati ya BEBERU na KABAILA. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nisamehewe bure kama nitaonekana nasukumwa na umaskini wangu kuandika haya ninayoandika. Kiukweli nimeshangaa na kukwazwa kusikia kuwa kuna shule hapa hapa bongo inayotoza Tshs. 34 milioni kama...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Back
Top Bottom