Assalam Aleykum wakuu, mwanangu nataka kumhamisha shule ya sekondari ya serikali toka Mkoa mmoja kwenda mwingine hivyo naomba mwongozo nianze na nini au wapi.
Naamini UDOM ni chuo kimoja kikubwa hapa Tanzania na kinatoa Certificate and Diploma (non degree) programs nyingi. Kinacho nishangaza ni wana Graduate prospectus, Undergraduate Prospectus lakini...
Naomba kuwashauri wazazi wote najua vijana wengi hivi sasa wamefunga shule kwa ajili ya mapumziko, na ni wachache ambao wataendelea na masomo kama tution nk. Najua wengi wetu kama wazazi muda...
Nimepata nafasi Chuo cha Songea Teachers College kusoma Stashahada ya Ualimu Kemia na Biologia.
Hivyo naombeni msaada kwa anayeelewa hiki Chuo au vyuo vingine vyenye kufanana na hicho hususani...
Bila shaka wote ni wazima humu jamvini. Mimi ni moja kati ya watu wengi waliosoma Project/Program Management. Ukweli ni kwamba zaidi ya kile nilichotoka nacho chuoni na nilivyo jiupdate Online...
Ukisikia kuisoma namba ndo huku
Si boom lote nikalipia ada? Hapa nasoma namba kichizi yaani hadi January ifike ya boom 2 itakuwa nimeshakufa.
Nilipewa asilimia kidogo sana 40% only sasa kwa chuo...
Habar wadau!.
Wiki jana 20/11- 21/11/2019 ilikuwa ni siku ya upimaji wa kitaifa kwa wanafunzi wa darasa la nne nchi nzima.
Halmashauri ya Geita vijijini inayoongozwa na Afisa Elimu Said Juma...
Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliomaliza darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo amesema #MwananchiUpdate
Hongera kwa...
Miji kama India, China, Greece na Rome walikuwa wakifahamu kuwa dunia ni duara na inaelea angani, inajizungusha kwenye mhimili wake kwa masaa 24, na inalizunguka jua, njia yaje ya kulizunguka jua...
Hi wapendwa JF.
Mi nilifanya vibaya form 4 kwa kupata 0. Nimekuwa na mawazo ya kureseat ila nimeshauriwa nifanye NABE na VETA wameniambia kuwa nikifanya hadi stage 3 nitaweza kujiunga chuo kati...
Hello brothers en Sisters!
Nimechaguliwa MUST course ni Diploma in Biomedical Equipment engineering nashukuru maana ndio niliyoichagua na ninaipenda kutoka moyoni.
Swali langu, Je ajira zake ziko...
Wana JF,
Waajiriwa wapya wa chuko kikuu kinachoanzishwa na serikali cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichoko Butiama, mkoani Mara wameishi maisha magumu sana...
Wakuu salama humu nilifungua uzi wa kuomba mtu walau wa kunidhamini nisomee driving nitamlipa gharama zake baadae.
Mimi ni mhitimu wa ngazi ya diploma katika fani ya engineering kama mjuavyo fani...
Salam wana jamvi, wa thread ya elimu.
Going straight to the point, mmi ni first year nasoma BEE Bachelor of Electrical and Electronics, lakini shida ni kwamba naona kama mambo hayaendi kwani...
Kwanza natoa pongezi kwa shule na uongozi wa shule na wanafunzi kwa ujumla kwa kufanya vizuri katika masomo.
Changamoto iliyopo ni kuwa kuna hela wazazi wanachangishwa kwa kusudi fulani na hilo...
Hivi nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science. Je ni fields tofauti au ni the same? Pia kama ni tofauti ipi ni bora zaid kusoma kozi yake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.