Habari,
Nilimaliza kidato cha sita katika shule fulani hivi hapa Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita.
Baada ya miaka kadhaa leo nimeenda shuleni hapo kwa dhumuni la kuchukua cheti changu hicho...
Ukweli ni kuwa hii tasisi ni kero kubwa kwa wanafunzi kutokana na usumbufu wanaopata wanafunzi na wazazi. Wanafunzi walishajaza maombi lakini Bodi sasa imeanza kuleta masharti kama mganga wa...
Hili tatizo linanichanganya sijui chanzo ni nini. Ninasoma chuo ninamaliza mwaka wa kwanza nasumbuliwa na mawazo ya kuacha chuo tangu nimeanza chuo chenyewe lakini nikifanya mitihan nafaulu vizuri...
Watanzania wangekuwa mbali sana kama wangalijua English mapema, Leo hii watanzania wangetapakaa dunia nzima, kama wasomi na wajasiriamali, pia mfano walimu wengi wa Kiswahili China na Europe si...
Kuna taarifa inasambaa sana. Kwamba kama mwanafunzi ana supp kwa course ya afya (Nursing) anarudia mwaka. Je hivi ni haki kwa mtu kuwa na supp moja bila discontinue halafu anarudia mwaka?
Naombeni ushauri kati ya hizi kozi. Ni kozi ipi ambayo ipo marketable ukimaliza masomo:
- Law
- Journalism
- Public administration
- Social Work
Naombeni ushauri wenu hapo wakuu.
Wadau tujuzane juu ya hawa Loan Board kuhusu wale appellant. Maana hatujui kama kuna batch nyingine tena au kama haipo. Maana watu bado tupo njiapanda.
Habari wadau naomba kama kuna mwanachuo,lecturer au graduate yoyote kasoma IT,computer science au engineering, telecom anisaidie notes za computer electronic nina shida nazo wapendwa tuinuane jamani.
Assalam wakuu,
Nnimehitimu B Degree ya Finance and Banking (3.6 GPA) miaka kadhaa iliyopita na sasa niko private firm nasukuma gurudumu kibishi as accountant. Kutokana na salary kuwa kiduchuuu...
Nimemaliza chuo mwaka huu pale Mbeya University of Science and Technology.
Bahati mbaya nilikuwa na Sup ambayo nilifaulu ila system ya chuo ilisumbua kwenye kuweka matokeo yangu.
Baada ya...
Habari za leo wakuu?
As regard with the heading above, ninapenda kuulizia ni benki zipi zinaweza wasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu, mikopo ya ada tu (tuition fees), ili kufanikisha upatikanaji...
Habari wana jamvi,
Naomba kujua vigezo vya kuwa Assistant Lecturer. Ninafanya kazi mahala ila napenda sana kufundisha chuo. Nimeona tangazo wanataka Assistant Lecturer vigezo ni GPA zaidi ya 4...
WanaJF ninaomba kwa yeyote anayejua mahali Bookshop ya vitabu vya hesabu vya A-level hapa jijini Mbeya ninaomba anijuze! Ninatafuta vitabu vya Tranter, Shayo na Backhouse
Hello JF members,
Naomba ushauri, nimesoma Diploma ya Ualimu wa Sekondari nikiwa na GPA ya 3.2 kwa masomo ya Maths na Chemistry. Je, ninaweza kujiendeleza Chuo Kikuu kwa course tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.