Hope mko poa wana JF.
Ombi langu kubwa kwenu kielimu ni kuujua Mto Ruvu hususani main areas kama ni wilaya au vijiji itakuwa bora zaidi mahala unapopita mpaka unapoenda kumwaga maji baharini...
Iko hivi
Kifupi nilianza kuajiriwa private nikiwa na Diploma, na kwasababu ya njaa ya kusoma nilitafuta kazi serikalini ili nipate ruhusa ya kusoma (Bachelor na Masters) maana private sector...
Habari za muda huu wana jukwaa,
Kama heading hapo juu inavyojieleza, nadhani sasa elimu yetu inatakiwa ielekee nje ya boksi.
Maana ya kuandika hivi, siku ya juzi niliwakuta wanafunzi ambao ni...
Member wengi wametupia vitabu hapa JF vitabu vya inspirational na vya maisha ya jamii kwa ujumla. Kwa vitabu vya soft copy hasa ambavyo ni new edition kwa wanafunzi kuanzia hasa vyuo na vyuo vikuu...
Salamu, kwa msaada Mwalimu yeyote mwenye PDF ya maazimio ya masomo kwa mwaka huu naomba. Kama upo nao au unajua namna ya kuupata, naomba kusaidiana katika hilo
Nawasilisha.
Asante
Sent using...
Kama kuna member anayeweza kunisaidia soft copy ya kitabu cha financial accounting 1 au kunielekeza wapi naweza kukipata naomba anielekeze au anisaidie kukipata "ahsanten"
Dodoma. Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza mwaka 2020.
Wakati hao wakipata nafasi, wenzao 58,699...
Habari wakuu,
Naulizia mahali ninapoweza kujifunza short courses za mifugo, naomba tujuzane hapa. Mahali kozi zinapotolewa pamoja na muda wa course.
Asante
Wakuu vipi kuhusu wanaotaka kufanya transfer wameshafungua hao TCU?
Na wanaposema feedback ni December huko mtu si utakuwa umemiss vipindi kadhaa utaweza kuendelea na chuo kweli?
Habari,
Nilikua naomba kuuliza, hivi ni lazima kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wameomba mkopo kupeleka majina yao chuo ili waweze kutumiwa matokeo yao bodi ya mkopo?
Na kama mtu...
Wakuu habari, ni hivi nimebahatika kurudia kama mara mbili hivi mtihani wa kidato cha nne kwa karibu masomo yote 7, matokeo ya awali nilikuwa na ufaulu hafifu ambao binafsi sikupendezwa nao...
Habari wanajamvi Mimi nahitaji kujiunga na chuo cha SAUT Mwanza ngazi ya Diploma.
Swali langu je? Ni kozi ipi nzuri kwa Sasa katika soko la ajira maana cheti nilisoma community development...
Nimepitia course zinazotolewa na Chuo Kikuu Huria ni kama tu vyuo vingine, ila nimejaribu kuuliza muda gani inachukua mtu kusoma degree course na kuhitimu. Je ni miaka 3 kama vyuo vya kawaida...
Kuna tetesi kuwa serikali imetoa waraka unaowaelekeza wakurugezi kuwarudisha walimu wa sekondari waliowahamishia msingi kama hawana pesa za kuwalipa. Mwenye kulifahamu hilo Naomba kujulishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.